-
Thailand na Cambodia zasitishaji mapigano 'bila masharti'
Jul 28, 2025 23:02Thailand na Cambodia zimekubaliana kusitisha mapigano "bila masharti" kuanzia jana Jumatatu usiku wa manane.
-
Uholanzi yatangaza Israel kuwa tishio la usalama
Jul 28, 2025 09:42Uholanzi, kupitia Ofisi ya Kuratibu Usalama na Kukabiliana na Ugaidi (NCTV), imetangaza kwa mara ya kwanza kuwa utawala wa Israel ni tishio la usalama kitaifa, kutokana na kampeni zake za upotoshaji wa taarifa na vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa za haki.
-
Wasanii wa Ubelgiji: Hatutaki kulea watoto wetu katika dunia ambamo watu wanauawa kwa njaa
Jul 28, 2025 03:52Jumuiya ya wasanii na utamaduni ya Ubelgiji imelaani hatua ya Israael ya kuendelea kutumia njaa kama siilaha ya vita dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Mamia ya makuhani wa Kiyahudi waitaka Israel kuacha kuua raia wa Palestina kwa njaa
Jul 28, 2025 03:51Mamia ya makuhani wa Kiyahudi kutoka sehemu mbalimbali za dunia wametia saini barua ya kuitaka Israel iache kutumia njaa kama silaha ya vita.
-
Amnesty International: Mauaji ya kimbari yanafanyika Gaza
Jul 27, 2025 23:12Agnes Calamard Mkuu wa Shirika la Amnsety International Jumamosi usiku alirusha puto la hewa moto katika anga ya Paris ambalo juu yake aliandika maneno yanayosomeka: "Mauaji ya kimbari yanaendelea huko Gaza. Sitisha mauaji hayo."
-
Kremlin: Msingi wa uhusiano na Kiev utajulikana baada ya kufikiwa malengo ya oparesheni maalumu ya kijeshi
Jul 27, 2025 23:11Dmitry Peskov Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema kuwa msingi wa uhusiano wa baadaye kati ya Moscow na Kiev utaainishwa baada ya kufikiwa malengo ya oparesheni maalumu ya kijeshi.
-
Kwa nini Marekani imeitaka China iache kununua mafuta ya Iran?
Jul 27, 2025 23:03Waziri wa Fedha wa Marekani ametoa wito kwa China kuacha kununua mafuta ya Iran na Russia wakati huu inapokaribia duru mpya ya mazungumzo ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China.
-
Marekani na China zashutumiana vikali kwenye Baraza la Usalama la UN kuhusiana na Russia
Jul 27, 2025 06:26Marekani na China zimeshutumiana vikali wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu madai ya kuihusisha Beijing katika mzozo wa Ukraine.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Tishio la kutokea Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka
Jul 27, 2025 06:25Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban amesema tishio la kuzuka Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia linazidi kuongezeka na kwamba Jamii ya Kimataifa inapaswa ifanye kila iwezalo kulizuia.
-
Askari mstaafu wa Marekani kwa BBC: Nilishuhudia uhalifu wa kivita huko Gaza
Jul 26, 2025 23:04Katika mahojiano na BBC, afisa mstaafu wa Kikosi Maalumu cha Jeshi la Marekani amefichua sababu ya kujiuzulu kwake kutoka kwenye timu za usalama za taasisi ya Gaza Humanitarian Foundation katika eneo la Palestina lililozingirwa, akisisitiza kuwa alishuhudia vikosi vya jeshi la Israel vikifanya uhalifu wa kivita.