-
Askari mstaafu wa Marekani kwa BBC: Nilishuhudia uhalifu wa kivita huko Gaza
Jul 26, 2025 23:04Katika mahojiano na BBC, afisa mstaafu wa Kikosi Maalumu cha Jeshi la Marekani amefichua sababu ya kujiuzulu kwake kutoka kwenye timu za usalama za taasisi ya Gaza Humanitarian Foundation katika eneo la Palestina lililozingirwa, akisisitiza kuwa alishuhudia vikosi vya jeshi la Israel vikifanya uhalifu wa kivita.
-
Walimwengu waandamana kulaani kuwabakisha na njaa wakazi wa Gaza
Jul 26, 2025 08:06Wananchi wa miji mbalimbali ya Ulaya na katrikka mataifa ya Kiarabu wameandamana kupinga siasa za utawala wa kizayuni za njaa dhidi ya watu wa Gaza wakati wa vita vya mauaji ya kimbari vya utawala huo ghasibu vilivyodumu kwa miezi 21.
-
Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yaendelea licha ya wito wa kusitisha vita
Jul 26, 2025 07:44Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yameingia siku yake ya tatu licha ya kutolewa wito wa kusitisha vita hivyo.
-
Watu milioni 3 wamepoteza maisha kwa kuzama majini duniani muongo uliopita
Jul 26, 2025 04:05Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, takriban watu milioni 3 wamepoteza maisha kwa kuzama majini duniani.
-
Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa UN awahutubu waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni: Mnalalaje usiku kwa raha!
Jul 25, 2025 23:00Francesca Albanese Ripota Maalumu wa Haki za Bimadamu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ameashiria vifo vya kila siku vya makumi ya watoto wa Kipalestina kwa sababu ya njaa inayotokana na kukosa chakula na kuwahutubu waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni: Vipi mnaweza kulala usiku kwa raha!
-
Kwa nini eneo la kusini mwa dunia limejipanga dhidi ya sera za Trump?
Jul 25, 2025 08:34Nchi nne za Amerika ya Kusini na viongozi wa mrengo wa kushoto nchini Uhispania wameonya juu ya tishio la demokrasia duniani na kutoa mwito wa kuwepo umoja dhidi ya sera za Marekani na ongezeko misimamo ya kuufuurutu ada duniani.
-
Kuongezeka ubaguzi dhidi ya Waislamu Ulaya, mwanamke mwislamu auawa kwa kudungwa kisu Hanover
Jul 25, 2025 04:03Kundi la kutetea haki za binadamu limeonya kwamba chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani imefikia viwango vya kutisha.
-
Norway: Gaza ni Jahannamu halisi
Jul 25, 2025 03:21Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway ametaja hali ya maisha katika Ukanda wa Gaza kuwa ni "Jahannamu halisi" na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja vita na kuadhibiwa viongozi wa kisiasa na kijeshi wa Israel.
-
Takwimu za kushindwa Trump katika vita vya pili dhidi ya Iran zavujishwa
Jul 25, 2025 03:03Tovuti za kufuatilia meli za mafuta zinaripoti kushindwa kwa Trump katika vita vya mafuta dhidi ya Iran. Ni baada ya kufeli juhudi za Donald Trump zilizolenga kupunguza mauzo ya mafuta ya Iran hadi sifuri kupitia vikwazo vya juu zaidi.
-
Tovuti ya data za ujasusi ya CIA yadukuliwa
Jul 25, 2025 02:40Wadukuzi wasiojulikana wamedukua tovuti ya Ofisi ya Kitaifa ya Upelelezi ya Marekani (NRO), ambayo hutumiwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na mashirika mengine ya upelelezi kusimamia kandarasi nyeti na kubadilishana taarifa na makampuni binafsi.