-
Walimwengu wazidi kuishinikiza Israel ivunje mzingiro dhidi ya Gaza
May 20, 2025 09:55Mataifa mbalimbali ya dunia yameendelea kutoa mwito kwa utawala haramu wa Israel ili uhitimishe mzingiro wake dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu vya Iran amuandikia barua Papa Leo, atoa wito wa ushirikiano
May 20, 2025 02:56Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu wa Iran ametuma salamu za pongezi kwa mkuu mpya wa Kanisa Katoliki, akihimiza mazungumzo yenye tija na ushirikiano baina ya dini, huku akimuenzi Papa Francis aliyeaga dunia hivi karibuni.
-
China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Israel
May 19, 2025 03:55China imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni na kupachikwa jina bandia la Israel kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.
-
Umoja wa Mataifa wapunguza misaada ya kibinadamu
May 18, 2025 06:56Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, umepunguza mipango yake ya misaada ya kibinadamu katika mataifa mawili ya Yemen na Somalia, ikiwa ni matokeo ya kupungua maradufu kwa ufadhili kutoka kwa nchi wanachama.
-
Uchunguzi: Umma wa Marekani wataka mkataba wa amani na Iran
May 18, 2025 00:54Utafiti mpya uliofanywa nchini Marekani umeonyesha kuwa kuna uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa umma wa Marekani kwa mkataba mpya wa amani na Iran, huku kukiwa na upinzani mkubwa dhidi ya hatua yoyote ya kijeshi
-
Katibu Mkuu wa UN: Maendeleo ya kidijitali yanawaacha nyuma wanawake
May 18, 2025 00:49Tarehe 17 Mei 2025, Siku ya Kimataifa ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (TEHAMA), ulimwengu umeadhimisha miaka 160 tangu kuanzishwa kwa Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano, ITU, kwa kuangazia mchango wa teknolojia katika kubadilisha maisha ya binadamu kuanzia kwenye telegrafu hadi redio, kutoka mtandao wa intaneti hadi akili mnemba AI.
-
Trump apanga kuwahamishia Libya Wapalestina milioni 1 wa Gaza
May 17, 2025 06:59Imefichuka kuwa, maafisa wakuu wa serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump wanashughulikia mpango wa kuhamisha takriban nusu ya wakazi milioni 2.2 wa Ukanda wa Gaza uliozingirwa na kuwapeleka hadi Libya.
-
Waandamanaji Paris watoa wito wa kususia utawala katili wa Israel
May 16, 2025 23:19Maandamano ya kuunga mkono Palestina yamefanyika karibu na Wizara ya Utamaduni ya Ufaransa jijini Paris, yakitoa wito wa kususia utawala wa Israeli kutokana na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Sasa hata Ufaransa yalaani jinai za kutisha za Israel
May 16, 2025 06:49Jinai za Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni kubwa kiasi kwamba hata dola la kikoloni la Ufaransa ambalo ni moja ya waungaji mkono wakubwa wa Israel limeshindwa kuvumilia na limelaani jinai hizo likitaka kukomeshwa haraka na Netanyahu wawajibishwe na jamii ya kimataifa.
-
Trump atoa matamshi mapya kuhusu mazungumzo na Iran
May 16, 2025 06:48Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena leo Ijumaa ametoa matamshi mapya kuhusu mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya nchi yake na Iran.