-
NATO inayoongozwa na Marekani yakumbwa na sakata la ufisadi
May 16, 2025 03:18Imefichuka kuwa, nchi nyingi duniani zimeanzisha uchunguzi wa rushwa katika mfumo wa ununuzi wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) linaloongozwa na Marekani.
-
Ufaransa na Uhispania zajadili kuiwekea vikwazo Israel kwa jinai zake Gaza
May 15, 2025 04:07Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Uhispania wamezungumzia haja ya kuiwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutokana na kuendesha vita vya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.
-
Wajapani wapinga safari ya waziri wa Israel katika nchi yao
May 14, 2025 23:35Wananchi wa Japan wamekusanyika na kupinga safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Israel katika nchi yao na kulaani jinai za Tel Aviv dhidi ya wananchi wa Gaza.
-
Witkoff: Amani haiwezi kupatikana Ukraine bila ridhaa ya Putin
May 13, 2025 23:14Steve Witkoff, Mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utatuzi wa amani wa mzozo wa Ukraine hauwezekani bila idhini na ridhaa ya Rais wa Russia, Vladimir Putin.
-
Uchunguzi wa maoni: Sura ya Marekani imeporomoka duniani kote
May 13, 2025 03:33Utafiti mpya wa kila mwaka, uliochapishwa jana Jumatatu, unaonyesha kuwa mtazamo wa kimataifa kuhusu Marekani umerudi nyuma kwa kiasi kikubwa katika mwaka uliopita, na kwamba mtazamo wa watu kuhusu nchi hiyo sasa ni mbaya zaidi ikilinganishwa na Uchina.
-
Ripoti: Matajiri dunia wamesababisha theluthi mbili ya mabadiliko ya hali ya hewa
May 13, 2025 02:22Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la Nature Climate Change umegundua kuwa asilimia 10 ya watu matajiri zaidi duniani wanahusika na theluthi mbili ya ongezeko la joto duniani linalooshuhudiwa tangu mwaka 1990, na athari mbaya uongezeo la mawimbi ya joto na ukame.
-
Maandamano makubwa Ufaransa kulaani kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu
May 13, 2025 00:46Maelfu ya watu waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa siku ya Jumapili kulaani ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na kumuenzi Aboubakar Cissé, kijana kutoka Mali aliyeuawa akiswali ndani ya msikiti.
-
Kundi la PKK lavunjwa katika juhudi za kufikia amani na Uturuki
May 12, 2025 07:41Kundi la wapiganaji wa Kikurdi (PKK) ambalo limekuwa katika mapigano ya silaha na Uturuki kwa zaidi ya miongo minne, limetangaza kuvunjwa kwake na kumalizika kwa mapambano yake ya silaha.
-
Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan
May 12, 2025 04:02Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa mabilioni ya dola za India yaliyotumika kwenye ununuzi wa silaha kutoka kwa Israel yamechangia pakubwa katika vita vya wiki iliyopita dhidi ya Pakistan.
-
"Israel imehusika katika mapigano baina ya India na Pakistan"
May 12, 2025 02:18Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa mabilioni ya dola za India katika ununuzi wa silaha kutoka Israel yamechangia pakubwa katika vita vya wiki iliyopita dhidi ya Pakistan.