-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 02:06Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Israel katika ghadhabu baada ya ICC kukataa kusitisha hati za kukamatwa Netanyahu na Gallant
Apr 25, 2025 08:47Uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kukataa ombi la Israel la kusitisha utekelezaji wa hati za kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Yoav Gallant umeikasirisha mno serikali ya Tel Aviv.
-
Shoigu: Russia inaweza kutumia silaha za nyuklia kukabiliana na mashambulio ya Magharibi
Apr 25, 2025 02:57Katibu wa Baraza la Usalama la Russia Sergei Shoigu amesema, Moscow ina haki ya kutumia silaha za nyuklia katika kukabiliana na mashambulio ya nchi za Magharibi.
-
Pigo la Yemen kwa Wall Street; Hisa za silaha za Marekani zaporomoka
Apr 24, 2025 23:17Viwanda vya kutengeza silaha vya Marekani vimezidi kupata hasara kutokana na Yemen kufunga Bahari Nyekundu isitumiwe na meli za Marekani, za Israel na chombo chochote cha baharini kinachoupelekea vitu utawala wa Kizayuni.
-
Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo
Apr 24, 2025 23:16Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov amesema Umoja wa Ulaya umekuwa ukizuia juhudi za kidiplomasia za Washington na Moscow kwa ajili ya kumaliza mzozo wa Ukraine, na badala yake unafanya jitihada za kurefusha uhasama na mzozo huo.
-
Zelenskyy akatisha ziara ya A/Kusini muda mfupi baada ya mashambulio makali huko Kyiv
Apr 24, 2025 23:15Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amekatisha ziara yake ya kiserikali nchini Afrika Kusini muda mfupi baada ya kutokea mashambulizi makali ya makombora ya Russia na ndege zisizo na rubani dhidi ya Kyiv mji mkuu wa Ukraine, usiku kucha.
-
Kauli mbali mbali baada ya kifo cha Papa Francis
Apr 24, 2025 23:14Kufuatia kifo cha Papa Francis, baada ya miaka kumi na miwili usukani, macho ya vyombo vya habari na duru za kisiasa yameelekezwa tena kwa makao makuu ya Kanisa Katoliji, Vatican.
-
Polisi wa US wavamia nyumba za wanaounga mkono Palestina huko Michigan
Apr 24, 2025 07:08Maafisa usalama wa serikali ya shirikisho ya Merekani wamefanya uvamizi ulioratibiwa kwenye makazi ya wanaharakati wanaounga mkono Palestina wanaohusishwa na Chuo Kikuu cha Michigan.
-
Foreign Policy: Operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Yemen zimegonga mwamba
Apr 24, 2025 00:43Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limeandika kuwa operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Yemen zimefeli na kugonga mwamba.
-
Guterres: Mama Dunia anaugua homa
Apr 23, 2025 07:29Wakati kiwango cha joto duniani kinakuwa ni cha juu na hakuna dalili za kiwango hicho kushuka, ndipo kiwango hicho kinafananishwa na ‘homa kali’, na hivyo sasa tunaweza kusema kwamba ‘Mama Dunia anaugua homa.