-
UN yatakiwa kuzuia hatua za Israel dhidi ya shirika la misaada, UNRWA
Nov 07, 2024 03:16Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimetakiwa zizuie hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutekeleza sheria zilizopitishwa na bunge la utawala huo za kuzuia operesheni za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi wa kipalestina, UNRWA ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mashabiki wa PSG wabeba mabango yanayoiunga mkono Palestina katika mechi ya UEFA
Nov 07, 2024 03:07Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa harakati za kuunga mkono Palestina Jumatano usiku.
-
Ireland kuwa na balozi wa kwanza wa Palestina
Nov 06, 2024 22:58Serikali ya Ireland imeafiki kuteuliwa balozi wa Palestina kwa mara ya kwanza katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Trump ajitangaza kuwa mshindi katika uchaguzi wa Marekani, Harris bado hajakubali kushindwa
Nov 06, 2024 07:58Rais wa zamani Donald Trump ambaye anaongoza kwa mujibu wa kura zilizohesabiswa dhidi ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa 2024 tayari amejitangaza kuwa mshindi huku akitazamia kurejea kwa muhula wa pili katika Ikulu ya White House.
-
Mtaalamu: Kwa Afrika hakuna tofauti baina ya Trump na Harris
Nov 06, 2024 07:52Huku Donald Trump akiwa amejitangaza kuwa mshindi katika uchaguzi wa Marekani, wataalamu wa mambo wanasema hakuna tofauti kwa Afrika kuhusu ni nani anayechukua hatamu za uongozi kati ya mgombea wa Wademokrat au Warepublican.
-
Maandamano ya waungaji mkono Palestina katika siku ya uchaguzi Marekani
Nov 06, 2024 07:28Sambamba na siku ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, waungaji mkono wa Palestina wameandamana mjini New York kupinga sera ya serikali ya Marekani kuhusu Palestina.
-
Uingereza yarekodi maambukizi ya kwanza ya homa ya nyani nje ya Bara Afrika
Nov 06, 2024 05:05Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kwamba watu wawili wameambukizwa aina mpya ya virusi vya homa ya nyani, "Mpox" nchini Uingereza baada ya kukutana na mgonjwa aliyerejea nchini humo kutoka Afrika. Hayo yanatambuliwa kuwa maambukizi ya kwanza ya ugonjwa huo nje ya Bara Afrika.
-
Vyombo vya habari vya Marekani: Trump anaongoza kwa kura 267 dhidi ya Harris mwenye kura 214
Nov 06, 2024 03:50Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, anaongoza katika mbio za kuwania kuingia Ikulu ya White House dhidi ya Makamu wa Rais, Kamala Harris, huku wawili hao wakiendelea kukabana koo katika kura za majimbo muhimu ya Marekani.
-
Tovuti ya Russia: Biden anaweza kuanzisha vita vya dunia iwapo Harris atashindwa katika uchaguzi
Nov 06, 2024 02:39Kituo cha Kimkakati cha Russia cha Tamaduni kimetazamia kuwa Rais wa Marekani Joe Biden yumkini atazusha mzozo wa kimataifa katika kipindi cha miezi miwili iliyosalia ya utawala wake, iwapo naibu wake, Kamala Harris, atashindwa katika uchaguzi wa rais.
-
Mwanamke Mfaransa ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuiunga mkono Palestina
Nov 05, 2024 22:53Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa mwanamke mmoja raia wa Ufaransa amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuliunga mkono na kulitetea taifa la Palestina linaloendelea kukabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala haramu wa Israel.