-
Kila saa moja linaripotiwa tukio la ubakaji katika mji mkuu wa Uingereza, London
Sep 23, 2024 03:38Takwimu zilizotolewa na Polisi ya Uingereza zinaonyesha kuwa tukio moja la ubakaji huwa linaripotiwa kila saa katika mji mkuu wa nchi hiyo London.
-
Kuongezeka kwa ukatili dhidi ya Waislamu Marekani
Sep 22, 2024 23:22Bunge la Seneti la Marekani limefanya kikao kuchunguza ongezeko la uhalifu wa chuki katika nchi hiyo.
-
Maandamano ya kupinga Uzayuni yafanyika Sweden na Italia
Sep 22, 2024 04:11Wapinzani wa jinai za utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamefanya maandamano makubwa nchini Sweden na Italia wakitaka kukomeshwa mara moja mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
China yakosoa na kulaani jinai za Israel nchini Lebanon
Sep 21, 2024 23:28Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya kikatili, ya kutisha na yasiyo na mfano ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya nchi huru, sheria za kimataifa na za kibinadamu.
-
Japan yaamuru watu kuhama makazi yao kutokana na tishio la mafuriko
Sep 21, 2024 23:27Serikali ya Japan imetoa amri ya kuhama watu kutoka katika makazi yao katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ikiwa ni indhari ya tishio la mafuriko yanayoijongea nchi hiyo ya bara Asia.
-
Afisa wa UN: Israel imekiuka sheria za kimataifa katika mashambulizi ya Lebanon
Sep 21, 2024 04:29Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amesema hatua ya utawala haramu wa Israel ya kutekeleza mashambulizi ya kielektroniki kwa kulipua vifaa ya kielektroniki vya mawasiliano ni kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Waislamu wa Marekani Hatutaki Trump wala Kamala Harris... Jill Stein yumkini akawa suluhisho
Sep 21, 2024 01:02Uchunguzi mpya wa maoni umeonyesha kuwa wapiga kura Waarabu na Waislamu Wamarekani waliokasirishwa na misaada na uungaji mkono wa Marekani kwa uvamizi wa Israel huko Gaza wanahama kutoka kwa Kamala Harris na kumuunga mkono mgombea wa Chama cha Kijani katika uchaguzi ujao wa rais, Jill Stein.
-
Wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya waandamana kupinga uungaji mkono wa EU kwa Israel
Sep 21, 2024 01:01Wafanyakazi wa mashirika yenye uhusiano na Umoja wa Ulaya wamepinga sera ya umoja huo kuhusu Palestina na kutoa wito wa kusitishwa mara moja na daima mapigano huko Gaza, Palestina.
-
Tabribani watu 300 wafariki Myanmar kwa Kimbunga Yagi
Sep 21, 2024 01:00Idadi ya waliofariki dunia kutokana na Kimbunga Yagi nchini Myanmar imefikia watu 293, huku wengine 89 wakiwa hawajulikani walipo.
-
Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza
Sep 20, 2024 03:22Mbunge Muislamu wa Marekani mwenye asili ya Palestina Rashida Tlaib amewasilisha mbele wa Bunge la Marekani kwa ajili ya kuwekwa kwenye kumbukumbu majina ya watoto wa Kipalestina waliouliwa na jeshi dhalimu la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.