-
McDonald yapata hasara baada ya kususiwa kwa kuunga mkono jinai za Israel huko Gaza
Jul 30, 2024 23:17McDonald, shirika kubwa la migahawa Marekani lenye matawi duniani kote limepata hasara kubwa kufuatia kupungua kwa mauzo yake kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka minne, likiathiriwa kwa kiasi kikubwa na kampeni ya kususiwa bidhaa zake iliyoanzishwa na watetezi wa Palestina kote duniani ambao wanapinga mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Ushindi wa Nicolas Maduro na kuanza uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Venezuela
Jul 30, 2024 08:27Baada ya ushindi wa Nicolas Maduro katika uchaguzi wa rais wa Venezuela na kuanza uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo, Caracas imewaita nyumbani wanadiplomasia wake kutoka nchi saba na kuzitaka nchi hizo kuwaondoa wanadiplomasia wao kutoka Venezuela.
-
Upinzani wa wafanyakazi wa Kongresi ya Marekani dhidi ya vita vya Gaza waongezeka
Jul 30, 2024 08:20Wapinzani wa vita na jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Gaza wanazidi kuongezeka katika Bunge la Marekani.
-
Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu
Jul 29, 2024 22:59"Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Kan'ani: Uchaguzi wa Venezuela ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
Jul 29, 2024 08:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja uchaguzi wa rais uliofanyika nchini Venezuela uliokuwa na hamasa kubwa kuwa ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
-
Ikulu ya Russia: Rais Putin ana hamu ya kukutana na Dkt Pezeshkian
Jul 29, 2024 03:27Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema, Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin ana hamu ya kukutana na Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dkt Masoud Pezeshkian.
-
Uturuki: Netanyahu mfanya mauaji ya kimbari atakuwa na mwisho kama wa Hitler
Jul 29, 2024 02:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema: "kama ulivyokuwa mwisho wa mfanya mauaji ya kimbari Hitler, ndivyo pia utakavyokuwa mwisho wa mfanya mauaji ya kimbari Netanyahu."
-
Maduro ashinda uchaguzi wa rais wa Venezuela kwa muhula wa tatu
Jul 29, 2024 02:31Nicolás Maduro ameshinda uchaguzi wa rais wa Venezuela na kuchaguliwa kwa muhula wa tatu kuwa rais wa nchi hiyo.
-
Ulaya yaendelea kushuhudia maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Jul 28, 2024 23:26Wananchi wa nchi mbalimbali za barani Ulaya kwa mara nyingine wamefanya maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Gaza, Palestina.
-
Hafla ya kufungua Michezo ya Olimpiki au kampeni ya kueneza ushoga na kumdhalilisha "Yesu Kristo"?
Jul 28, 2024 08:36Viongozi wa dini ya Kikristo, wasomi na wanasiasa wamewakosoa waandaaji wa hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki iliyoandaliwa na mji mkuu wa Ufaransa, Paris, kutokana na onyesho la "Drag Queens" la mwanamume aliyevaa mavazi ya kike na kujikwatua na taswira ya mchoro wa “Karamu ya Mwisho,” (Last Supper) ambayo baadhi wanasema inaonyesha picha ya Nabii Isa, amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake, na wanafunzi wake.