-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 20, 2024 23:00Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
Idadi ya waliokufa katika machafuko Bangladesh yafikia 115
Jul 20, 2024 07:25Idadi ya watu walioaga dunia katika machafuko yanayoendelea nchini Bangladesh iimeongezeka na kufikia watu 115.
-
Wizara: Watoto wanabakwa katika kambi za wahajiri Marekani
Jul 20, 2024 02:40Imebainika kuwa, maelfu ya watoto wahajiri wamebakwa na kufanyiwa unyanyasaji na udhalilishaji wa kingono katika kambi na vituo vya 'kuwahifadhi' wahamiaji haramu nchini Marekani.
-
Biden anakaribia kujiondoa, wagombea 4 wanajitayarisha kumrithi
Jul 19, 2024 22:49Rais wa Marekani, Joe Biden, anakaribia kufanya uamuzi wa kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha urais katika uchaguzi ujao. Haya ni kwa mujibu wa wa habari zilizovuja zinazothibitisha kwamba, chama cha Democratic kwa sasa kinajadili machaguo ya hatua zinazofuata.
-
Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa dunia
Jul 19, 2024 07:38Hitilafu kubwa ya kiteknolojia iliyotokea asubuhi ya leo Ijumaa imesababisha mashirika makubwa ya ndege duniani kusitisha safari zao, mabenki kushindwa kutoa huduma kwa wateja, vyombo vya habari vya kimataifa kushindwa kurusha matangazo yao pamoja na kusimama kwa huduma nyingine nyingi zinazoendeshwa kwa kutumia teknolojia.
-
Msimamo wa wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la UN dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jul 19, 2024 00:23Wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa wametoa radiamali yao kwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
IHRC: Waislamu ni nguvu yenye ushawishi katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza
Jul 17, 2024 00:10Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) amesema Waislamu ni nguvu yenye taathira katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza.
-
Amnesty International: Waislamu wa Ufaransa wananyimwa nafasi ya kupumua na wanabaguliwa
Jul 17, 2024 00:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kuwa kuwazuia wanariadha wa Ufaransa wanaovaa vazi la Hijabu kushiriki katika Michezo ya Olimpiki kunakiuka sheria za kimataifa za haki za binadamu, na kunafichua unafiki na baguzi wa serikali ya Ufaransa, na udhaifu wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki.
-
China: Tuko tayari kushirikiana na serikali ijayo ya Iran
Jul 16, 2024 03:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema China inathamini uhusiano wake na Iran na iko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Jamhuri ya Kiislamu ili kuendeleza ushirikiano wa kimkakati na wa kina kati ya pande mbili.
-
Mamilioni ya Waislamu washiriki katika maombolezo ya Tasu’a kote duniani na leo ni Ashura
Jul 15, 2024 23:45Mamilioni ya Waislamu jana Jumatatu walishiriki katika maombolezo ya Tasu'a ya Imam Husain AS kote ulimwenguni ambayo ni mwezi 9 Muharram na inaitangulia Ashura ambayo ni siku ya maombolezo makubwa zaidi ya kukumbuka alipouawa shahidi na kidhulma mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, yaani Imam Husain AS.