-
Rais wa Brazil: Dunia isinyamazie kimya mauaji ya Wapalestina Gaza
Jul 15, 2024 23:24Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amelaani vikali kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Kuingia BRICS katika nyanja mpya za ushirikiano
Jul 15, 2024 23:22Sambamba na kufanyika kikao cha St.Petersburg nchini Russia ambapo maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa kundi la BRICS walikutana na kujadiliana masuala mbalimbali katika kikao chao cha 10, wasemaji wa wizara za mambo ya nje wa kundi hilo pia walifanya mkutano maalum kando ya kikao hicho ili kuratibu misimamo yao kuhusu sera za kigeni.
-
Jaribio la mauaji Pennsylvania: Ni mchezo wa kuigiza au mbinu ya propaganda ya Trump?
Jul 15, 2024 04:42Tukio la kujeruhiwa sikio rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa sasa wa chama cha Republican, Donald Trump, alipokuwa akihutuba mkutano wa kampeni za uchaguzi huko Pennsylvania siku ya Jumamosi ya juzi limeibua maswali mengi baina ya wanasiasa na wanadau wa mitandao ya kijamii.
-
Russia: Marekani badala ya kushupalia Ukraine iimarishe usalama wake wa ndani
Jul 14, 2024 23:16Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesitiza baada ya Donald Trump kupigwa risasi kwenye kampeni ya uchaguzi kwamba Marekani inapaswa "kupima" sera zake za "uchochezi wa chuki".
-
Tukio la kupigwa risasi Trump; ishara ya kuongezeka ghasia za kisiasa nchini Marekani
Jul 14, 2024 09:52Tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani wakati akizungumza kwenye kampeni ya uchaguzi mbele ya wafuasi wake huko Butler, Pennsylvania, Jumamosi jioni, huku uchaguzi wa rais ukikaribia kufanyika nchini humo, limeibua gumzo kubwa la kisiasa katika vyombo vya habari vya Marekani.
-
Wanariadha wa Ireland waonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina
Jul 14, 2024 06:39Wanariadha wa Ireland katika mji mkuu wa nchi hiyo Dublin wameonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina wakipinga vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kkufanywa na Israel Ukanda wa Gaza.
-
FBI yathibitisha: Shambulio dhidi ya Trump lilikuwa jaribio la mauaji
Jul 14, 2024 06:29Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) imethibitisha leo Jumapili kwamba shambulizi dhidi ya rais wa zamani na mgombea wa sasa, Donald Trump, huko Pennsylvania jana jioni lilikuwa jaribio la mauaji, na kwamba imemtambua mpiga risasi aliyeuawa, huku uchunguzi ukiendelea.
-
Japan inatafakari kulitambua rasmi taifa huru la Palestina
Jul 14, 2024 03:18Serikali ya Japan imefichua kuwa, inatathmini kwa uzito mkubwa suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.
-
Trump ajeruhiwa kwa risasi mkutanoni Pennsylvania; asema yupo salama
Jul 14, 2024 00:03Raisi wa zamani wa Markani, Donald Trump, na mgombea wa sasa wa kiti cha rais nchini humo jana alijeruhiwa kwa rsasi akiwa katika mkutano wa hadhara huko Butler, katika jimbo la Pennsylvania akihutubia wafuasi wake; hatua iliyoipelekea timu yake ya ulinzi kumtoa katika sehemu ya tukio.
-
BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia
Jul 13, 2024 23:26Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.