-
Yaliyoifanya Marekani ipendekeze katika Baraza la Usalama la UN azimio la kusitishwa vita Ghaza
Jun 12, 2024 22:40Marekani ambayo huko nyuma ilionyesha waziwazi kuwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuyapigia kura ya turufu mara kadhaa maazimio tofauti ya Umoja wa Mataifa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza, hatimaye siku ya Jumatatu Juni 10 iliwasilisha azimio jipya la usitishaji vita ambalo lilipitishwa na Baraza la Usalama kwa kura 14 kati ya 15 zilizounga mkono, ukiondoa Russia tu iliyoamua kutopiga kura.
-
Mtoto wa rais wa Marekani Joe Biden apatikana na hatia kwenye kesi tatu
Jun 12, 2024 07:47Mtoto wa rais wa Marekani amepatikana na hatia katika kesi zote tatu zilizokuwa zinamkabili ikiwa ni pamoja na uhalifu wa kununua silaha wakati akiwa mtumiaji wa dawa za kulevya.
-
Juhudi za BRICS za kutumia sarafu za taifa katika mabadilishano ya kibiashara
Jun 12, 2024 05:38Nchi wanachama wa kundi la BRICS zinafanya jitihada kubwa za kuhakikisha zinakuwa na mfumo maalumu wa mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu za taifa za nchi wanachama.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu wataka kamati ya Olimpiki kuondoa marufuku ya hijabu
Jun 12, 2024 03:53Vyama vya michezo na makundi ya haki za binadamu yametoa wito kwa rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach kusaidia kubatilisha marufuku ya wanamichezo wa Ufaransa kuvaa hijabu.
-
Ripoti: Ukatili dhidi ya watoto katika maeneo ya vita uliongezeka sana 2023
Jun 12, 2024 03:48Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto viliripotiwa kuongezeka sana mwaka jana (2023) katika maeneo yanayoshuhudia vita na mapigano.
-
Ripota maalumu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa alaani mauaji dhidi ya Wapalestina
Jun 10, 2024 23:05Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuendelea kufanya mauaji dhidi ya Wapalestina.
-
Ripota maalumu wa UN akosoa vikali mauaji ya kinyama inayoendelea kufanya Israel Ghaza
Jun 10, 2024 03:28Francesca Albanese, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amekosoa vikali mauaji ya kinyama ya Wapalestina zaidi ya 200 yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kisingizio cha kuwakomboa mateka Waisraeli.
-
Mirengo ya kulia Ufaransa, Ujerumani na Austria yashinda uchaguzi wa EU, Macron avunja Bunge
Jun 10, 2024 03:26Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vimepata mafanikio makubwa katika uchaguzi wa wabunge wa Umoja wa Ulaya, na kutoa kipigo cha kufedhehesha kwa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Austria Karl Nehammer.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 10
Jun 10, 2024 02:56Hujambo mpenzi msikilizaji, natumai u mzima wa afya. Karibu tuangazie baadhi ya matukio makuu yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Wanachama wa BRICS wasisitiza kuundwa sarafu moja ya kidijitali
Jun 09, 2024 06:21Katika Kongamano la 27 la Kimataifa la Kiuchumi la Saint Petersburg nchini Russia, nchi wanachama wa BRICS zimetangaza tena utayari wa kutekeleza kivitendo hatua ya kuunda sarafu moja ya kidijitali.