-
Colombia kusimamisha usafirishaji wa makaa ya mawe kwa utawala wa Kizayuni
Jun 09, 2024 05:57Wizara ya Biashara ya Colombia imetangaza kuwa, katika kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza, inasimamisha usafirishaji wa makaa ya mawe kwa utawala wa Kizayuni.
-
Putin: Russia itashinda, mzozo wa Ukraine utamalizika kwa kuridhiwa matakwa yake
Jun 08, 2024 07:18Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, mzozo wa Ukraine utamalizika kwa kukubaliwa matakwa na masharti ya nchi yake.
-
Wanaharakati wa Kiyahudi waitaka Ujerumani iache kuipelekea silaha Israel
Jun 08, 2024 04:12Wanaharakati wa Kiyahudi wameitaka serikali ya Ujerumani iache kuupatia silaha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UNICEF: Mtoto mmoja kati ya watoto wanne anakabiliwa na umaskini wa chakula
Jun 08, 2024 04:11Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, mtoto mmoja kati ya watoto wanne walio na umri wa chini ya miaka mitano wanakabiliwa na umaskini mkubwa wa chakula, na kuwaweka katika hatari ya kukabiliwa na utapiamlo unaotishia maisha yao.
-
Waziri Mkuu wa Denmark ashambuliwa na kupigwa Copenhagen
Jun 08, 2024 04:10Waziri Mkuu wa Denmark Bi Mette Frederiksen alishambuliwa jana Ijumaa alipokuwa kwenye bustani ya Copenhagen, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Waislamu India wapata ahueni kidogo baada ya chama cha Modi kudhoofika
Jun 08, 2024 02:50Matokeo ya uchaguzi mkuu wa India yanaonyesha kuwa muungano wa Waziri Mkuu Narendra Modi umepata viti vichache sana kuliko ilivyotarajiwa.
-
UN yaiweka Israel kwenye Orodha ya Aibu ya wanaoua watoto
Jun 08, 2024 00:38Umoja wa Mataifa umeongeza jeshi la Israel kwenye "orodha ya aibu" ya kila mwaka ya wahalifu wanaoua watoto.
-
Wamarekani wengi wana wasiwasi kuhusu hali ya kimwili na kiakili ya Biden
Jun 08, 2024 00:37Asilimia 60 ya wapiga kura wa Marekani wana wasiwasi kuhusu udhaifu wa kimwili na kuzeeka kiumri Joe Biden kwa ajili ya kuwania muhula wa pili wa urais.
-
Guterres alaani vikali hujuma ya Israel iliyoua wakimbizi 35 katika kituo cha UNRWA Gaza
Jun 07, 2024 08:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye shule iliyokuwa inahifadhi wakimbizi wa kipalestina huko Nuiserat, katikati mwa Gaza alfajiri ya Alhamisi.
-
Canada yashuhudia ongezeko la 1300% la hujuma za chuki dhidi ya Uislamu
Jun 07, 2024 08:43Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Canada (NCCM) limeripoti kuongezeka kwa 1300% kwa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi hiyo ya Amerika Kaskazini kufuatia kuanza kwa mauaji ya kimbari ya Isarel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.