-
Korea Kusini kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika
Jun 04, 2024 23:44Korea Kusini jana ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa viongozi wa Kiafrika ambao wamewakilishwa na wajumbe kutoka nchi 48 wakiwemo wakuu wa nchi wapatao 30.
-
Maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Imam Khomeini (MA) katika maeneo tofauti ya dunia
Jun 04, 2024 06:21Maadhimisho ya mwaka wa 35 wa kifo cha Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika katika sehemu tofauti za dunia, zikiwemo nchi za Kiafrika, wakati mmoja na nchini Iran.
-
Slovenia yaakhirisha kuitambua nchi huru ya Palestina baada ya upinzani kuomba kura ya maoni
Jun 04, 2024 04:15Chama kikuu cha upinzani nchini Slovenia kimewasilisha hoja ya kuomba iitishwe kura ya maoni kuhusu uamuzi wa kulitambua taifa huru la Palestina, hatua inayoweza kupelekea kucheleweshwa mchakato wa kupigiwa kura suala hilo katika bunge la nchi hiyo.
-
Polisi wa US wakamata waandamanaji 70 baada ya kuvamia ubalozi wa Israel, San Fransisco
Jun 04, 2024 03:47Polisi wa Marekani katika mji wa San Fransisco wamewakamata waandamanaji wapatao 70 wanaotetea na kuunga mkono Palestina baada ya kuingia kwenye ukumbi wa ubalozi mdogo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ulioko kwenye mji huo.
-
Maldives kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia nchini humo
Jun 03, 2024 07:59Maldives imetangaza kuwa itawapiga marufuku wenye paspoti za utawala haramu wa Israel kuingia katika visiwa hivyo vinavyopatikana katika Bahari ya Hindi.
-
Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe
Jun 03, 2024 07:57Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.
-
Mexico yapata Rais wa kwanza mwanamke; ni Sheinbaum
Jun 03, 2024 04:38Claudia Sheinbaum amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchiini Mexico katika ushindi wa kihistoria.
-
Chile yajiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jun 02, 2024 08:00Rais Gabriel Burich wa Chile ameatangaza kuwa, nchi yake itajiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.
-
Sanders: Inasikitisha kuona Netanyahu anaalikwa kuhutubia Kongresi ya US
Jun 02, 2024 06:58Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amewakosoa vikali viongozi wa Kongresi ya nchi hiyo kwa kumualika 'mtenda jinai' Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhutubia kikao cha pamoja cha Baraza la Wawakilishi na Baraza la Seneti la Marekani.
-
Mbunge wa Bunge la Ulaya: Utawala katili wa Israel ni wa kigaidi
Jun 02, 2024 03:22Mwakilishi wa Ireland katika Bunge la Ulaya ambaye amelaani mara kwa mara utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza ameutaja utawala huo unaokalia Palestina kwa mabavu kuwa ni wa kigaidi.