-
OCHA: Misaada ya kibinadamu Gaza haikidhi mahitaji
Jun 01, 2024 22:57Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa, misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Gaza haitoshi kabisa nae neo hilo linakaribia kutumbikiia katika maafa makubwa ya kibinadamu.
-
Mwanasoka aliyekataa kuufanyia kampeni 'ushoga' afungiwa kucheza mechi nne Ufaransa
Jun 01, 2024 07:38Kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Monaco ya Ufaransa Mohamed Camara amefungiwa kucheza mechi nne za ligi ya nchi hiyo baada ya kuficha kwenye jezi yake ujumbe wa kutetea vitendo vichafu vya maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja wakati wa mechi ya mwisho ya ligi ya klabu hiyo msimu huu.
-
Biden atangaza mpango wa kukomesha vita Ghaza, Netanyahu asisitiza vita vitaendelea
Jun 01, 2024 07:13Ofisi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu imesisitiza juu ya nia ya serikali ya Netanyahu ya kuendeleza mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi itakapohakikisha malengo yote ya vita ya Tel Aviv yamefikiwa.
-
Kundi la kwanza la askari wa Ufaransa liko njiani kuelekea Ukraine
Jun 01, 2024 07:12Mbunge wa Ukraine Aleksey Goncharenko amesema kundi la kwanza la wakufunzi wa kijeshi wa Ufaransa liko njiani kuelekea nchini humo.
-
Mbunge wa Marekani: Biden ni punguani, hana akili timamu
Jun 01, 2024 04:33Wawakilishi wawili wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Joe Biden wa kuondoa vikwazo kwa Kiev vya kutumia silaha za Marekani kushambulia ardhi ya Russia.
-
UNHCR: Zaidi ya watu milioni 100 wameyakimbia makazi yao kutokana na vita
May 31, 2024 22:50Imeelezwa kuwa, idadi ya watu wanaokimbia makaazi yao kutokana na kuongezeka kwa vita, ghasia na mateso imeongezeka ulimwenguni na kufikia watu milioni 114.
-
Serikali ya Slovenia yaidhinisha hoja ya kuitambua nchi huru ya Palestina
May 31, 2024 06:28Vyombo vya habari vya Slovenia vimetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo imeidhinisha hoja ya kuitambua Palestina kuwa ni nchi rasmi na huru.
-
Biden airuhusu Ukraine ishambulie maeneo ya Russia kwa silaha za Marekani, aikasirisha Moscow
May 31, 2024 06:28Rais Joe Biden wa Marekani amelegeza marufuku aliyokuwa ameiwekea Ukraine na kuiruhusu kutumia silaha za Washington kushambulia ndani ya ardhi ya Russia ili kuisaidia kulinda eneo lake la kaskazini mashariki la Kharkiv dhidi ya mashambulizi.
-
Trump, Rais wa zamani wa Marekani apatikana na hatia ya makosa ya jinai
May 31, 2024 04:06Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amepatikana na hatia katika makossa 34 ya jinai katika kesi ya kihistoria ambayo huenda ikatikisa kampeni za uchaguzi wa rais mwaka huu wa 2024 nchini humo.
-
Amnesty Internationa: Idadi ya watu wanaonyongwa duniani inaongezeka
May 30, 2024 23:01Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetangaza kuwa, idadi ya watu wanaokabiliwa na adhabu ya kifo na kisha kunyongwa imeongezeka duniani.