-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina yaendelea Ulaya licha ya ukandamizaji wa polisi
May 30, 2024 05:56Kwa siku ya tatu mfululizo, Ufaransa inashuhudia maandamano makubwa ya kuunga mkono Palestina na kupinga mauaji ya kimbari yanayoendelezwa na utawala haramu wa Israel huko Gaza na pia mauaji ya hivi karibuni kabisa yaliyotekelezwa na utawal wa Israel huko Rafah.
-
Brazil yamrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia jinai za Gaza
May 30, 2024 03:35Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel kulalamikia mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, ambayo yamepelekea Wapalestina zaidi ya 36,100 kuuawa shahidi tangu Oktoba, 2023.
-
Ubalozi wa Israel nchini Mexico wateketezwa moto katika maandamano ya kupinga mauaji ya Rafah
May 29, 2024 23:04Waandamanaji waliokuwa na hasira wameuchoma ubalozi wa utawala haramu Israel katika jiji la Mexico City nchini Mexico wakati wakibanisha malamiko yao kuhusu mauaji ya kimbari yanaotekelezwa na Israel huko Gaza.
-
Rais wa Venezuela: Marekani na EU zinanyamazia kimya jinai za Kinazi za Israel huko Gaza
May 29, 2024 23:00Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" ya Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Donald Trump akiri juu ya udhaifu wa utawala wa Kizayuni
May 29, 2024 05:27Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani amesema katika mkusanyiko wa Wayahudi wa Marekani kwamba utawala wa Israel umepoteza uwezo wake.
-
Licha ya mauaji ya Rafah, US yasema Israel bado haijavuka 'mstari mwekundu' wa Biden
May 29, 2024 03:13Msemaji wa Baraza la Usalama wa Taifa la Marekani John Kirby amedai kuwa Israel haijakiuka "mstari mwekundu" wa Rais Joe Biden wa kuifanya Washington isitishe katika siku za usoni kuipatia Tel Aviv silaha za mashambulizi kwa sababu inavyohisi Marekani Israel haitaanzisha operesheni ya ardhini ya kuuvamia kikamilifu mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Bendera ya Palestina yapepea ndani ya Bunge la Ufaransa
May 29, 2024 03:11Bendera ya Palestina imepepea katika Bunge la Ufaransa.
-
Ripoti: Chuki dhidi ya Waislamu Austria zimefikia kiwango cha juu
May 29, 2024 00:09Austria imerekodi idadi kubwa zaidi ya matukio ya chuki dhidi ya Uislamu katika mwaka uliopita wa 2023 tangu ilipoanza kuweka rekodi za matukio hayo mwaka 2015.
-
Trump aapa "kutimua wanafunzi" na kukandamiza wanaounga mkono Palestina akichagualiwa tena kuwa rais
May 29, 2024 00:08Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameapa kuwa atakandamiza maandamano ya watetezi na waungaji mkono wa Palestina yanayoendelea kufanywa katika vyuo vikuu vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa "atawafukuza" wanafunzi wanaohudhuria maandamano hayo, ikiwa atachaguliwa kurudi tena madarakani.
-
Umoja wa Mataifa: Changamoto za ulimwengu zinaongezeka huku afya ikizorota
May 28, 2024 07:10Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, changamoto zinazoukabili ulimwengu hivi sasa zimekuwa zikiongezeka kila sikuu huku hali ya afya ikizorota.