-
Watu 622 wafariki dunia katika tetemeko la ardhi kusini mashariki mwa Afghanistan
Sep 01, 2025 04:24Kituo cha Utafiti cha Ujerumani cha Geosciences (GFZ) kimeripoti kwamba tetemeko la ardhi la lenye ukubwa wa 6.0 kwa kipimo cha Rishter limepiga maeneo ya kusini mashariki mwa Afghanistan usiku wa Jumapili ya kuamkia leo.
-
New York Times: 60% ya kizazi kipya cha Marekani wanafadhilisha Hamas kuliko Israel
Aug 31, 2025 23:13Uchunguzi wa maoni ya wa taasisi za Harvard na Harris inaonyesha kuwa asilimia 60 ya kizazi cha vijana wa Marekani wanafadhiliisha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuliko Israel kwa kufuatia vita vya sasa vya Ukaknda wa Gaza.
-
Vilabu vya kandanda Ulaya vitasusia timu za Israel katika mashindano ya bara kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza
Aug 31, 2025 23:12Ripoti iliyochapishwa nchini Uingereza imefichua kuwa vilabu kadhaa vya kandanda vya Ulaya vinataka kususia timu za mchezo huo za Israel katika mashindano ya soka ya bara hilo, wakati jeshi la utawala ghasibu wa Israel likiendelea kufanya uhalifu dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Aug 31, 2025 23:05Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Msafara mkubwa zaidi wa meli za misaada kuelekea Gaza kuvunja mzingiro wa Israel
Aug 31, 2025 08:22Msafara wa meli unaobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, akiwemo mwanaharakati maarufu kutoka Uswidi, Greta Thunberg, unatarajiwa kuondoka mjini Barcelona leo Jumapili, kwa lengo la “kuvunja mzingiro uliowekwa kinyume cha sheria na utawala wa Israel dhidi ya Gaza.”
-
Russia Yamshauri Kansela wa Ujerumani Merz awaone ‘Madaktari wa Akili’
Aug 31, 2025 08:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, amemshauri Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz aonane na wataalamu wa akili kufuatia kauli zake kuhusu vita vya Ukraine.
-
Uhalifu wa Magharibi: Jinsi Marekani ilivyowatumia binadamu 5,000 kama panya wa maabara huko Guatemala
Aug 31, 2025 02:12Uchunguzi wa historia ya elimu na sayansi ya Marekani unaonyesha kuwa mitazamo ya ubaguzi wa rangi dhidi ya binadamu wasio wazungu nchini Marekani imewafanya watafiti nchini humo kuwatumia binadamu, hasa weusi kutoka Afrika na watu maskini, kama panya wa maabara.
-
Mwanaharakati Greta Thunberg: Hatuwezi kupata haki ikiwa tutaitenga Gaza
Aug 30, 2025 09:19Mwanaharakati wa masuala ya hali ya hewa wa Uswidi, Greta Thunberg, ameikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza, akionya kuwa haki haiwezi kupatikana huku masaibu ya Wapalestina yakipuuzwa.
-
Je, Ulaya imetumia kadi yake ya mwisho dhidi ya Iran?
Aug 30, 2025 08:50Jarida la Foreign Policy limeashiria katika makala yake kuhusu hatua ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza ya kuanzisha mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) kutokana na mpango wake wa nyuklia.
-
US yawazuia viongozi wa PLO na PA kuhudhuria UNGA huku nchi zikijiandaa kuitambua Palestina
Aug 30, 2025 02:23Marekani imebatilisha rasmi viza za maafisa wa Palestina, na kuwazuia kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA) utakaofanyika mwezi ujao wa Septemba mjini New York, makao makuu ya umoja huo, hatua ambayo inakuja wakati nchi kadhaa za Magharibi zinajiandaa kuitambua nchi ya Palestina.