DRC inasherehekea miaka 60 ya uhuru hali ikiwa bado mbaya + Sauti
Jul 01, 2020 07:45 UTC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inasherehekea miaka 60 wa uhuru wake kutoka kwa mkonoloji wa Ulaya, Ubelgiji, huku hali ya amani na uchumi ikiwa bado ni mbaya sawa kabisa na ilivyokuwa muda mchache tu baada ya kujipatia uhuru huo. Mossi Mwassi na maelezo zaidi kutoka Brazzaville.
Tags