-
Kuongezeka ukosoaji wa Magharibi dhidi ya himaya ya Marekani kwa Israel katika vita vya Gaza
Feb 13, 2024 23:06Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, Jumatatu iliyopita aliitaka Marekani kuacha kutoa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na kiwango kikubwa cha mauaji ya raia katika vita vya Gaza.
-
Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Pakistan
Feb 13, 2024 03:48Tume ya Uchaguzi ya Pakistani imetangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa bunge nchini humo, na wagombea huru wenye mfungamano na chama cha Tehreek-e-Insaf cha Imran Khan wamenyakua viti 101.
-
Mapitio ya safari ya kieneo ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran
Feb 12, 2024 22:55Sambamba na kuendelea kutokota mgogoro katika eneo la Asia Magharibi na kuendelea mauaji ya halaiki ya Wazayuni maghasibu huko Gaza Palestina, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya safari katika mataifa ya Lebanon na Syria.
-
22 Bahman mahudhurio ya hamasa ya Wairan na sisitizo la kusimama kidete
Feb 12, 2024 07:46Jumapili ya jana, tarehe 22 Bahman (Februari 11) ilisadifiana na maadhimisho ya mwaka wa 45 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Kukiri Netanyahu kuweko mgogoro mkubwa wa kiuchumi Israel
Feb 11, 2024 22:48Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni amekiri kwamba utawala dhalimu wa Israel umekumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi hivi sasa.
-
Rekodi ya Iran katika ustawi wa watu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2024 07:35Maendeleo ya pande zote ya Iran tangu baada tu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ndilo jambo ambalo lilitiliwa mkazo mno na Imam Khomeini, MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na yanaendelea kupewa umuhimu mkubwapia hivi sasa na Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kukiri UN juu ya nafasi chanya ya Iran katika matukio ya Asia Magharibi
Feb 11, 2024 00:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea hali ya mivutano katika eneo la Magharibi mwa Asia na kusema Iran ina nafasi chanya na yenye taathira katika matukio ya eneo hilo na katika kurejesha amani na utulivu.
-
Meta yafunga kurasa za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwenye Instagram, Facebook
Feb 10, 2024 06:50Kampuni ya Kimarekani ya Meta Platforms, Inc. inayoendesha na kumiliki Instagram, imefunga akaunti za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram na Facebook.
-
Marekani mhusika wa kuendelea mauaji ya kimbari ya Wazayuni Ukanda wa Gaza
Feb 09, 2024 22:59Himaya na uungaji mkono wa madola ya Magharibi hususan Marekani kwa utawala haramu wa Israel kivitendo umezuia kusitishwa vita na hilo kuandaa uwanja wa kuendelea kuuawa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Hukumu ya kutimuliwa nchini Sweden mhalifu aliyevunjia heshima Qur'ani Tukufu
Feb 09, 2024 07:34Mahakama ya Uhajiri ya Sweden imetangaza kwamba, mtafuta hifadhi wa Iraq, ambaye amefanya vitendo kadhaa vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, atafukuzwa nchini humo.