-
Safari ya Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran nchini Imarati (UAE)
Oct 07, 2023 08:32Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ambaye juzi Alhamisi aliwasili Abu Dhabi nchini Imarati kwa ziara ya siku mbili na kwa lengo la kustawisha uhusiano wa pande mbili amekutana na kufanya mazungumzo na Muhammad bin Zayid al Nahyan Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Jinai ya Homs; Kuongeza uwezekano wa kufufuliwa ugaidi unaoungwa mkono na Marekani nchini Syria
Oct 07, 2023 04:44Shambulio la kigaidi la Alkhamisi, Oktoba 5, kwenye sherehe ya kuhitimu mafunzo ya wanafunzi wa chuo kikuu cha maafisa wa jeshi katika mkoa wa Homs, kaskazini magharibi mwa Syria, lilisababisha vifo vya watu wasiopungua 80 na kujeruhi wengine zaidi ya 240.
-
Ujumbe wa gwaride kubwa la Brigedi ya al-Quds katika kumbukumbu ya miaka 36 ya kuasisiwa Jihad Islami
Oct 06, 2023 22:55Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina lilifanya gwaride lake kubwa zaidi la kijeshi katika Ukanda wa Gaza juzi tarehe 4 Oktoba kwa mnasaba wa mwaka wa 36 wa kuasisiwa harakati hiyo.
-
Radiamali ya kwanza ya serikali ya Ankara kuhusu mlipuko wa kigaidi katika mji mkuu
Oct 06, 2023 04:37Katika radiamali yake ya kwanza kuhusu mlipuko wa kigaidi katika kituo cha polisi mjini Ankara, serikali ya Uturuki imesema itapambana vikali na ugaidi katika kona zote za nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa Biden kuhusu kukatizwa misaada ya Ukraine
Oct 05, 2023 23:18Mvutano wa ndani wa Warepublican umetatiza mazungumzo ya bajeti katika Baraza la Wawakilishi la Marekani umepelekea Ikulu ya White House kuwa na wasiwasi juu ya kuendelea kuunga mkono Kyiv kama kipaumbele kikuu cha siasa za kigeni za utawala wa Biden.
-
Kuongezeka nguvu ya Hizbullah; jinamizi kwa Wazayuni
Oct 05, 2023 08:16Kuongezeka uwezo wa Hizbullah daima kumekuwa kukiwapa wasiwasi mkubwa watawala wa Kizayuni, na hasa maafisa wa kijeshi ambao wamekuwa wakilitumia suala hilo kama kisingizio cha kufikia malengo yao.
-
Kuuzuliwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani: Jambo ambalo halijawahi kutokea
Oct 05, 2023 04:48Kevin McCarthy, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani kutoka chama cha Republican juzi Jumanne aliuzuliwa na wabunge wa bunge hilo katika vuta nikuvute kati ya wabunge wa chama cha Republican wenye siasa kali na wenye msimamo wa wastani.
-
Kufukuzwa makumi ya wanadiplomasia wa Canada nchini India
Oct 04, 2023 22:50Siku ya Jumanne, serikali ya India iliitaka serikali ya Canada kuwaondoa wanadiplomasia wake wengine 40 kutoka nchi hiyo. Takwa hilo la kufukuzwa idadi kubwa ya wanadiplomasia wa Canada linaonyesha kuongezeka mvutano katika uhusiano wa nchi mbili.
-
Kutomwamini Netanyahu Ben Gvir; mgawanyiko mpya katika baraza la mawaziri la Israel
Oct 04, 2023 04:21Gazeti la Yediot Aharonot limeripoti kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hamwaliki tena Itamar Ben Gvir, Waziri wa Usalama wa Ndani kwenye vikao vya siri ya juu vya kiusalama vya utawala huo.
-
Kitendo cha al-Ittihad mjini Isfahan; kuchanganywa mechi ya mpira wa miguu na masuala ya kisiasa
Oct 04, 2023 02:41Katika kitendo kisicho cha uanamichezo siku ya Jumatatu, timu ya mpira wa miguu ya Saudi Arabia iliamua kutoingia kwenye uwanja wa Naqshe Jahan kwa ajili ya kuchuana na timu ya Sepahan ya mjini Isfahan.