-
Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi
Dec 18, 2022 06:13Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.
-
Kupitishwa azimio la UN la haki ya watu wa Palestina kuamua hatima yao wenyewe
Dec 18, 2022 00:43Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la haki ya taifa la Palestina ya kujiamulia hatima yake. Tangu mwaka 1948, Palestina imeshuhudia hali iliyopelekea kunyakuliwa eneo lake la kijiografia kwa kadiri kwamba hivi sasa asilimia 85 ya jiografia ya Palestina inakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa na kutotoa kiti kwa serikali ya Taliban
Dec 17, 2022 07:59Umoja wa Mataifa umepuuza na kutupilia mbali takwa la serikali ya Taliban na hivyo kwa mara nyingine tena kukikabidhi kiti cha uwakilishi wa Afghanistan katika umoja huo kwa Nasir Ahmad Faiq Mwakilishi wa Kudumu wa Afghanistan katika Umoja wa Mataifa.
-
Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni
Dec 16, 2022 23:21Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv.
-
Radiamali kali ya Iran dhidi ya kushadidi hatua za chuki za madola ya Magharibi
Dec 16, 2022 09:51Katika siku za hivi kariuni madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yameshadidisha hatua na mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yakitumia kama yanavyodai fursa ya kuibuka vurugu na machafuko hapa nchini.
-
Kuendelea ujasusi wa Israel nchini Uturuki
Dec 15, 2022 22:54Maafisa usalama wa Uturuki wamewatia mbaroni watu 44 wengine kwa tuhuma za kulifanyia ujasusi shirika la kijasusi la Israel, MOSSAD nchini humo.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 05:45Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa
Dec 14, 2022 23:06Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin.
-
Tathmini juu ya kikao cha Tehran cha "Mashirikiano Kamili ya Kimkakati kati ya Iran na China"
Dec 14, 2022 07:22Kikao cha mpango wa "Mashirikiano Kamili ya Kimkakati baina ya Iran na China" kilianza jana Jumanne hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Naibu Waziri Mkuu wa China.
-
Watoto wa Kiyemen ndio wahanga wakuu wa uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati
Dec 13, 2022 22:55Takwimu zilizotolewa kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Yemen zinaonyesha kuwa, watoto wa Kiyemeni ndio wahanga wakuu wa hujuma hiyo ya kijeshi.