Uchambuzi
  • Azma ya Iran ya kukabiliana na magaidi wanaotaka kujitenga kaskazini mwa Iraq

    Azma ya Iran ya kukabiliana na magaidi wanaotaka kujitenga kaskazini mwa Iraq

    Nov 23, 2022 02:34

    Vikosi vya makombora na ndege zisizo na rubani za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mara nyingine tena vimelenga makao makuu ya makundi ya kigaidi ya Komoleh na Democratic katika mikoa ya Sulaymaniyah na Erbil nchini Iraq.

  • Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika

    Upotoshaji wa Rais wa Ufaransa kuhusu ukoloni barani Afrika

    Nov 22, 2022 22:59

    Katika hali ambayo jinai za Ufaransa katika mataifa mbalimbali barani Afrika zinaendelea kushuhudiwa; Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusiana na satwa na upenyaji wa madola makubwa ya dunia barani Afrika.

  • Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Nov 22, 2022 07:09

    Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao.

  • Bin Salman na Bin Zayed hawana ubavu isipokuwa wa kuua watoto wa Kiyemen

    Bin Salman na Bin Zayed hawana ubavu isipokuwa wa kuua watoto wa Kiyemen

    Nov 21, 2022 22:53

    Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo faili la jinai za kivita la Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na Sheikh Muhammad bin Zayed Al-Nahyan Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huko nchini Yemen linavyozidi kuwa kubwa.

  • Sisitizo la kuchunguzwa jinai za jeshi la Marekani nchini Afghanistan

    Sisitizo la kuchunguzwa jinai za jeshi la Marekani nchini Afghanistan

    Nov 21, 2022 07:23

    Sambamba na kuanza uchunguzi kuhusiana na jinai za kivita nchini Afghanistan unaofanywa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa wito wa kuchunguzwa mashambulio ya mauaji ya jeshi la Marekani nchini Afghanistan.

  • Kashfa mpya ya haki binadamu ya serikali ya Marekani

    Kashfa mpya ya haki binadamu ya serikali ya Marekani

    Nov 20, 2022 22:59

    Wizara ya Mahakama ya Marekani imetoa hukumu ya kuishauri serikali ya nchi hiyo kumtoa kwenye hatia Mohamed bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia katika jinai ya mauaji ya kikatili ya Jamal Khashoggi, mwandishi Msaudia aliyekuwa anaukosoa utawala wa nchi hiyo. Khashoggi aliuliwa kinyama kwa kukatwa vipande vipande na maajenti wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Uturuki.

  • Kuongezeka maradufu watu wanaokatwa vichwa nchini Saudi Arabia

    Kuongezeka maradufu watu wanaokatwa vichwa nchini Saudi Arabia

    Nov 20, 2022 05:18

    Serikali ya Saudia inatumia vibaya kimya cha madola makubwa na jamii ya kimataifa, kuzidisha kukata vichwa watu kwa visingizio tofauti kiasi kwamba, idadi ya watu waliotekelezewa adhabu ya kifo na ukoo wa Aal Saud mwaka huu, tayari hivi sasa ni maradufu ya waliokatwa vichwa mwaka jana nchini humo.

  • Sweden yathibitisha: Bomba la gesi la Nord Stream liliharibiwa kwa makusudi, vita vya nishati vyapamba moto

    Sweden yathibitisha: Bomba la gesi la Nord Stream liliharibiwa kwa makusudi, vita vya nishati vyapamba moto

    Nov 19, 2022 23:05

    Tangu kuanza kwa vita vya Ukraine, mahusiano kati ya Russia na nchi za Magharibi yameambatana na mizozo na mivutano mingi, haswa katika sekta ya nishati, kwa kadiri kwamba usafirishaji wa gesi kupitia bomba kuu la usafirishaji wa gesi kutoka Russia kwenda Ulaya lijulikanalo kama "Nord Stream", umesimamishwa kwa miezi kadhaa iliyopita kutokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uvujaji wa gesi.

  • Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

    Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

    Nov 19, 2022 08:22

    Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran.