-
Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele
Nov 06, 2024 05:36SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Sayyid Hashem Safiyyuddin.
-
Satelaiti mbili za Iran zarushwa kwa mafanikio katika anga za mbali + Video
Nov 04, 2024 23:46Satelaiti mbili za Iran zilizotengenezwa na wanasayansi wenyewe wa Jamhuri ya Kiislamu mapema leo Jumanne zimerushwa kwa mafanikio angani na kufungua mlango kwa sekta binafsi ya Iran kuingia katika tasnia ya anga za mbali.
-
Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video
Nov 04, 2024 02:59Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwamba kwa uchache makombora 100 ya Hizbullah ya Lebanon yametwanga vituo vya kijeshi vya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Kwa mara nyingine wananchi wa Tunisia wataka balozi wa Marekani atimuliwe + Video
Nov 03, 2024 23:10Kwa mara nyingine tena wananchi wa Tunisiia wameandamana karibu na ubalozi wa Marekani mjini Tunis na kushinikiza balozi huyo wa dola la kibeberu atimuliwe nchini mwao.
-
Sababu za kusalia imara Kambi ya Muqawama: "Imani na kutawakali kwa Mola Muumba"
Oct 31, 2024 06:05Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika Makala ya Wiki ambayo leo inazungumzia kwa ufupi sababu za kuendelea kuimarika Kambi ya Muqawama na mapambano dhidi ya dhulma na Uonevu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Oktoba 28
Oct 28, 2024 06:14Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia....
-
Walowezi sita wa Israel waangamizwa na makumi wajeruhiwa karibu na Tel Aviv + Video + Picha
Oct 27, 2024 23:26Takriban walowezi sita wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya lori kwenye kituo cha mabasi karibu na makutano ya barabara ya Glilot kaskazini mwa Tel Aviv. Eneo lilipotokea tukio hilo kitovu cha kibiashara cha mji mkuu huo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yatwangwa kwa zaidi ya makombora 50 katika kipindi cha dakika mbili + Video
Oct 24, 2024 08:25Jeshi la utawala wa Kizayuni limetangaza kuwa, maeneo ya al Jalil ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni yamepigwa kwa makombora 50 katika kipindi cha dakika mbili huku Israel ikishindwa kutungua makombora hayo.
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Yahya Sinwar
Oct 24, 2024 07:08Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika Makala yetu ya Wiki ambayo inahusu kumbukumbu ya shahidi Yahya Sinwar aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari
Oct 23, 2024 04:43Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa Habari”.