-
Maspika wa Mabunge ya Iran na Tanzania wataka kuimarisha ushirikiano wa Kibunge
Jul 31, 2025 09:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU).
-
Rais Pezeshkian: Hakuna nchi inayoweza kuipigisha magoti Iran yenye umoja
Jul 31, 2025 09:06Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa hakuna nchi inayoweza kuwapigisha magoti wananchi wa Iran na hakuna kizuizi chochote kinachoweza kukwamisha ustawi wao madhali wanadumisha umoja na mshikamano wao.
-
Araqchi: Marekani imependekeza kuanza tena mazungumzo na Iran
Jul 31, 2025 09:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi ametaka kufidiwa hasara za vita vya mwezi uliopita na kusisitiza kuwa Marekani inapasa kufidia hasara zilizosababishwa kwa Iran katika vita vya karibuni vya siku 12.
-
Russia yalaani tishio jipya la Trump dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran
Jul 31, 2025 04:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amelaani matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema: "Vitisho vya mara kwa mara dhidi ya Iran vya kufanya mashambulizi mapya ya makombora na kushambulia vituo vya nyuklia vya nchi hiyo vimeibua wasiwasi mkubwa."
-
Pezeshkian apongeza msimamo wa kishujaa wa Venezuela wakati wa vita vya Israel dhidi ya Iran
Jul 31, 2025 00:46Rais Masoud Pezeshkian amesifu msimamo wa wazi na wa kishujaa wa Venezuela katika kulaani uchokozi wa hivi karibuni wa Israel dhidi ya Iran, pamoja na kuonyesha mshikamano na taifa la Iran.
-
Bunge la Iran latoa wito wa kuvunjwa mzingiro wa chakula Gaza na kuzuia maafa ya binadamu
Jul 30, 2025 09:18Katika taarifa yao iliyotolewa mapema leo Jumatano, wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wametaka kuvunjwa mzingiro wa chakula huko Gaza na kukomeshwa maafa makubwa ya binadamu katika eneo hilo.
-
Malengo halisi ya Magharibi kuhusu Iran ni yapi?
Jul 30, 2025 08:29Vyombo vya habari vya kigeni, sambamba na kuripoti kauli ya hivi karibuni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vimezingatia kwa namna ya kipekee sehemu ya hotuba yake ambapo amesisitiza kuwa: “Mpango wa nyuklia, urutubishaji na haki za binadamu ni visingizio – wanachotaka wao ni dini na elimu yenu.”
-
Qalibaf: Mauaji ya kimfumo ya Wapalestina huko Gaza yanakumbusha jinai za Wanazi
Jul 30, 2025 04:10Mohammad Baqer Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amelaani mauaji ya kimfumo ya Wapaletsina yanayotekelezwa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kuwa yanakumbusha jinai zilizofanywa na Wanazi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.
-
Imam Khamenei: Suala la nyuklia na haki za binadamu ni visingizio tu, Marekani haifurahishwi na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu
Jul 29, 2025 23:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, sababu kuu ya upinzani wa ubeberu wa dunia unaoongozwa na Marekani mtenda jinai dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ni dini, elimu na umoja wa Wairani chini ya kivuli cha Qur'ani Tukufu na Uislamu.
-
Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran: Hatuna imani kabisa na ahadi za Marekani na Israel
Jul 29, 2025 23:44Meja Jenerali Mousavi Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran amesema kuwa, hatuna imani na ahadi za Wamarekani na Wazayuni, na tumejitayarisha kikamilifu kukabiliana na uovu wao unaowezekana kufanywa upya.