-
Araqchi afanya mazungumzo na wenzake wa Msumbiji na Mali mjini Kampala
Oct 18, 2025 01:05Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Msumbiji na Jamhuri ya Mali wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini Kampala, Uganda.
-
Wimbi la chuki dhidi ya Israel laongezeka sambamba na kupungua uungaji mkono kwa Tel Aviv nchini Marekani
Oct 18, 2025 01:04Wimbi la chuki dhidi ya utawala haramu wa Israel limeongezeka katika maeneo mbalimbali duniani sambamba na kupungua himaya na uungaji mkono kwa utawala huo nchini Marekani.
-
Umoja wa Mataifa walaani jeshi kuchukua madaraka nchini Madagascar
Oct 18, 2025 01:04Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya jeshi la Madagascar kuchukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo baada ya maandamano yaliyokuwa yakiishinikiza serikali ya Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina.
-
Ripoti: Miili mingi ya Wapalestina iliyokabidhiwa na Israel ina athari mateso na kunyofolewa viungo
Oct 18, 2025 01:02Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa, miili mingi ya Wapalestina waliokabidhiwa na utawala wa Israel inaonyesha dalili za mateso makali, kunyongwa na kuporwa viungo vya mwili kama vile konea, figo na maini.
-
Muda wa vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran unamalizika leo, wizara yatoa tamko
Oct 17, 2025 23:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kuhusiana na kumalizika muda wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Vizuizi vilivyowekwa juu ya mpango wa nyuklia wa Iran vinamalizika leo Jumamosi Oktoba 18, 2025.
-
Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?
Oct 17, 2025 22:59Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Watumiaji X: Kutoka Afghanistan hadi Venezuela; mlolongo wa uingiliaji kati wa Marekani unaendelea
Oct 17, 2025 10:41Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
-
Indhari ya Human Rights Watch Ulaya-Mediterranean dhidi ya kuendelea Israel kutumia njaa kama wenzo wa mauaji ya halaiki
Oct 17, 2025 08:55Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Mediterania limetahadharisha katika taarifa yake kwamba, hatari ya njaa bado haijaondolewa huko Gaza, na kuendelea kupunguzwa kwa makusudi misaada ya kibinadamu kunadhihirisha kuwa utawala wa Israel unaendelea kutumia sera ya njaa kama wenzo wa mauaji ya halaiki.
-
Abu Torabi Fard: Jihadi ni ufunguo wa mabadiliko na ulinzi wa haki katika Qur'ani Tukufu
Oct 17, 2025 08:30Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa: Jihadi ni nguzo muhimu na yenye kuleta mabadiliko katika dini ya Kiislamu ambayo inatilia mkazo ushirikiano na Muqawama wa pamoja katika kupambana na dhulma mbali na kuhimiza jitihada za mtu mmoja mmoja.
-
Ushindi Mpya wa Ghaza; Hamas na Jihadul Islami dhidi ya magenge ya Shin Bet
Oct 17, 2025 08:30Baada ya kusitishwa mapigano na utawala wa Kizayuni, vikosi vya Muqawama vya Ghaza vimeingia katika vita vipya vya kupambana na magenge ya mamluki wa shirika la kijasusi la Israel Shin Bet kwenye Ukanda wa Ghaza ili kuwazuia majambazi hao kuunda maeneo yaliyojitenga chini ya uongozi wa utawala wa Kizayuni.