-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Usitishaji vita hauipi kinga Israel ya kutoadhibiwa kwa mauaji ya kimbari ya Gaza
Oct 14, 2025 23:55Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa makubaliano ya kusitisha vita Gaza yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Israel yasifanywe kuwa fidia ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel Ukanda wa Gaza.
-
Araghchi kuhudhuria mkutano wa NAM nchini Uganda
Oct 14, 2025 23:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu, Abbas Araghchi atazuru Uganda karibuni hivi kushiriki Mkutano wa 19 wa Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Rajoelina atangaza kulivunja Bunge la Madagascar akiwa 'mafichoni'
Oct 14, 2025 23:04Rais wa Madagascar anayesakamwa na mashinikizo ya kujiuzulu, Andry Rajoelina ametangaza kulivunja Bunge kufuatia wiki kadhaa za maandamano dhidi ya serikali yake kote nchini, akisema ni muhimu kurejesha utulivu na kutoa nafasi kwa vijana.
-
India yaendelea kuwakamata Waislamu wanaosema 'Nampenda Muhammad'
Oct 14, 2025 23:03Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya India kwa kuendelea kuwatia mbaroni na kuwashtaki Waislamu wanaoendeleza kampeni ya nchi nzima ya 'Nampenda Muhammad'.
-
Balozi: US inaihangaisha dunia kwa kisingizio cha kuleta 'uhuru'
Oct 14, 2025 23:02Balozi wa Venezuela nchini Iran, José Rafael Silva Aponte amesema Marekani inaihangaisha dunia nzima, ikiwa ni pamoja na Amerika ya Kusini, kwa kutumia kisingizio cha kuleta uhuru katika maeneo tofauti ya dunia, lakini Venezuela daima itasalia kuwa nchi huru na yenye mamlaka ya kujitawala.
-
Mgogoro wa ukosefu wa makazi katika Umoja wa Ulaya; je, bara la Ulaya linaweza kuhuisha ndoto ya haki ya kijamii?
Oct 14, 2025 23:01Umoja wa Ulaya unakabiliwa na idadi kubwa ya watu wasio na makazi inayoongezeka kwa kasi, mzozo ambao unachukua sura mpya kila siku.
-
Israel yaua Wapalestina wengine 6 huko Gaza; Hamas yalalamikia kukiukwa usitishaji vita
Oct 14, 2025 09:23Jeshi la Israel limewauwa shahidi takriban Wapalestina sita huko Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24, licha ya Tel Aviv hivi karibuni kufikia makubalianokuhusu utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mpango wa kusitisha vita.
-
Wanajeshi wa Israel waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi; Wapalestina 2 wajeruhiwa
Oct 14, 2025 09:20Takriban Wapalestina wawili wamejeruhiwa wakati wanajeshi wa Israel walipovamia na kuwafyatulia risasi wakazi wa eneo la Ukingo wa Magharibi. Wanajeshi wa Israel usiku wa kuamkia leo walivamia pakubwa vijii na miji kadhaa ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
-
Yemen yahimiza msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya Israel
Oct 14, 2025 09:18Serikali ya Yemen imethibitisha uungaji mkono wake kwa watu wa Gaza kufuatia kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya Hamas na Israel.
-
UN: Makubaliano ya amani ya Kongo na Rwanda 'hayaheshimiwi'
Oct 14, 2025 09:17Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."