-
Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjumuiko kwa ajili ya uhuru na kuwatetea waliodhulumiwa
Oct 19, 2019 12:07Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametembelea vibanda vya kuwahudumia wafanyaziara (Mawkib) katika kituo cha mpakani cha Chazabeh kusini magharibi mwa Iran na akizugumza na waandishi habari amesema, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni mhimili wa kutaka uhuru na kutetea watu wa Palestina na pia ni mjumuiko dhidi ya Uzayuni.
-
Matembezi makubwa ya "Waliosalia Nyuma" katika Arubaini ya Imam Hussein (as) yafanyika mjini Tehran
Oct 19, 2019 08:03Matembezi ya "Waliosalia Nyuma" katika Arubaini ya Imam Hussein (as) yamefanyika katika mwendo wa kilomita 17 kuanzia kwenye medani ya Imam Hussein (as) hapa mjini Tehran kuelekea haram ya mtukufu Abdul-Adhim (as) iliyoko mjini Rey kusini mwa Tehran kwa kuhudhuriwa na wapenzi na maashiki wa Imam Hussein (as).
-
Mamilioni wakusanyika Karbala katika Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 18, 2019 16:50Mamilioni ya Waislamu wanakusanyika katika mji mtakatifu wa Karbaka nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki katika shughuli ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as).
-
Shamkhani: Hakuna nchi inayoweza kudhuru usalama wa Iran
Oct 18, 2019 16:41Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa hakuna nchi inayoweza kuusababishia madhara usalama wa Iran.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Matembezi ya Arubaini yamekuwa jinamizi kwa maadui
Oct 18, 2019 15:22Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) ni safu za wapigania uhuru duniani wanaokabiliana na maadui; na akaongeza kwamba: Matembezi ya Arubaini yamegeuka kuwa jinamizi kwa maadui.
-
Iraq: Tutakabiliana kwa aina yoyote na hatua za kuibua farqa katika Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 18, 2019 03:26Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Baraza la Mkoa wa Najaf nchini Iraq amesema kuwa, serikali ya inchi hiyo itachukua hatua kali dhidi ya hatua yoyote ya kuibua tofauti katika marasimu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Ayatullah Kashani: Matembezi ya mamilioni katika Arubaini ya Imam Hussein AS yatafana zaidi
Oct 04, 2019 12:11Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq na kuhusika maadui katika kuibua ghasia hizo na kusema: "Maadui wanajaribu kuvuruga matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya ya Imam Hussein AS lakini matembezi hayo yatafana na kuwa makubwa zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka iliyopita.
-
Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa
Sep 18, 2019 12:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa na kuongeza kuwa: "Ujumbe wa Imam Hussein AS ni wa kuikomboa dunia kutoka katika utawala wa kambi ya ukafiri na uistikbari."
-
Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu
Sep 17, 2019 07:58Mwakilishi wa misafara ya mazuwari nchini Iraq amesema: Watu kutoka zaidi ya nchi 100, wakiwemo hata wasio Waislamu watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu.
-
Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran
Oct 31, 2018 15:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran.