-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kijeshi cha Imam Hussein AS
May 11, 2017 12:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza juu ya umuhimu wa uchaguzi ujao hapa nchini amebainisha nukta na mambo yanayoipatia nguvu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Uchaguzi unabainisha mshikamano usio na kifani wa wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
May 01, 2017 07:28Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumapili alikutana na wafanyakazi wa sekta mbali mbali humu nchini siku moja kabla ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Uadui wa Marekani dhidi ya Iran hauna chembe ya shaka
Apr 19, 2017 16:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu uadui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba uadui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
-
Kiongozi Muadhamu: Vitisho vya vita vya kijeshi, ni hila zilizozoeleka za Marekani
Feb 15, 2017 16:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Marekani inatumia hila ya kurudia rudia vitisho vya kuishambulia kijeshi Iran ili kuwatoa viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uwanja wa vita vya kweli ambavyo ni vita vya kiuchumi.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Jumuiya ya Wanachuo Ulaya
Jan 20, 2017 08:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa jumuiya za Kiislamu za wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya na kusema: "Ni jukumu la kila mtu kupeperusha bendera ya Uislamu halisi katika vita visivyo na usawa vya makabiliano na mrengo wa kufru na uistikbari."
-
Kiongozi Muadhamu aomboleza ajali ya kuporomoka jengo Tehran
Jan 20, 2017 04:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ametoa ujumbe wa maombolezo kufuatia kuwaka moto na kuporomoka jengo la kibiashara la Plasco katikati ya Tehran na kuwapa mkono wa pole wafiwa wote na kuwataka maafisa husika kufanya juhudi zao zote kuhakikisha watu waliokwama kwenye jengo hilo wanaokolewa.
-
Kiongozi: Uingereza inalenga kuzigawa vipande vipande Iraq, Syria, Yemen na Libya
Jan 08, 2017 14:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, "maadui asili wa Iran huru na iliyostawi," ni Marekani, Uingereza, mabepari wa kimataifa na Wazayuni.
-
Kiongozi Muadhamu: Mashahidi Walinzi wa Haram ni fahari kwa taifa zima
Jan 05, 2017 16:10Familia za makomandoo saba wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu la Iran waliouawa shahidi kwa ajili ya kulinda Haram ya Bibi Zainab (SA) iliyoko nchini Syria leo zilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kujitolea mashahidi
Dec 15, 2016 14:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mawimbi ya njama na mashambulizi ya uistikbari katika kadhia mbalimbali duniani kuwa yalikuwa ni kwa ajili ya Iran ya Kiislamu na kueleza kuwa, kutawala Qur'ani na dini nchini Iran na kueneza masuala hayo katika pembe nyingine za dunia, ni sababu iliyomfanya adui ahisi hatari na hivyo kufanya njama na kuendesha harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kufanyike juhudi za kuitambulisha Swala kama inavyostahiki
Dec 08, 2016 13:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuna haja ya kufanyika hima na juhudi za kuifahamu na kuitambulisha Swala katika nafasi yake inayostahiki na amali za mtu binafsi ziendane nayo.