-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 07:05Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Russia yabeza madai ya Trump kuhusu askari wa jeshi la kigaidi Marekani kuondoka Afghanistan
Oct 08, 2020 10:29Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema, madai ya rais wa Marekani kuhusu kuondoka askari magaidi wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan ni porojo tu la kampeni za uchaguzi.
-
Serikali ya Afghanistan: Taliban inatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo
Sep 27, 2020 10:11Mjumbe wa timu ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani ya Doha amelituhumu kundi la Taliban kuwa linatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo hayo.
-
Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Iran na Afghanistan
Sep 25, 2020 03:06Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afghanistan upo katika mkondo wa kupiga hatua na katika uwanja huo, na kwa mara ya kwanza kumefanyika maonyesho ya kitaalamu ya Iran kwa muda wa siku tatu katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul.
-
Abdullah Abdullah: Mazungumzo ya amani na Taliban ni magumu
Sep 18, 2020 23:58Mkuu wa Baraza la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, mazungumzo ya amani baina ya Waafghani wanayofanya wao na kundi la Taliban ni magumu.
-
Mazungumzo ya Wafghani yaendelea Doha, Taliban yakataa ombi la serikali la kusitisha vita
Sep 17, 2020 08:33Msemaji wa ofisi ya kisiasa ya kundi la Taliban nchini Qatar amelikataa ombi la serikali ya Afghanistan la kusitisha vita, wakati pande hizo mbili zinaendelea na mazungumzo ya amani katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
-
Iran: Mgogoro wa Afghanistan hauwezi kutatuliwa kijeshi
Sep 14, 2020 03:28Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna ufumbuzi wa kijeshi katika mgogoro wa Afghanistan.
-
Kuanza mazungumzo ya amani baina ya Waafghani nchini Qatar; shaka na matumaini yaliyopo
Sep 13, 2020 09:40Baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute, hatimaye mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban yalianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Mkutano wa mjini Doha baina ya mirengo ya Waafghani ni wa kwanza wa aina yake kufanyika nchini Qatar.
-
Vizuizi vinavyokwamisha kuanza mazungumzo ya amani ya Afghanistan
Sep 04, 2020 22:01Safari ya ujumbe unaoiwakilisha serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani na kundi la Taliban, ambao ulikuwa uondoke Kabul kuelekea mjini Doha, Qatar imeakhirishwa.
-
Mapigano na miripuko yaua watu 81 nchini Afghanistan
Aug 29, 2020 19:33Miripuko ya mabomu na mapigano nchini Afghanistan yamesababisha makumi ya watu kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa.