-
Araqchi akanusha madai ya kuwepo ofisi ya Taliban nchini Iran
Jul 19, 2020 10:06Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amekabidhisha vikali madai ya kipropaganda kuwa kundi la wapiganaji wa Taliban la Afghanistan lina ofisi hapa nchini. Sayyid Abbas Araqchi aidha amekanusha vikali uvumi wa uwepo wa kundi la Taliban hapa nchini Iran, kwa jina la "Baraza la Mashhad."
-
Safari ya Abbas Araqchi mjini Kabul; ushirikiano mzuri wa Iran na Afghanistan
Jul 16, 2020 07:49Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu anayehusika na masuala ya kisiasa amekutana na kufanya mazungumzo mjini Kabul na Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afganistan na kujadili masuala ya kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyanja zote
-
Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan
Jul 07, 2020 23:49Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.
-
Marekani yasisitiza, itaendelea kuikalia kwa mabavu ardhi ya Afghanistan
Jul 06, 2020 01:40Balozi mdogo wa Marekani mjini Kabul amesema kuwa majeshi ya nchi yake yataendelea kuwepo katika ardhi ya Afganistan.
-
Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban
Jul 02, 2020 20:09Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa kutumia kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 yaliyolenga sehemu kadhaa ndani ya ardhi ya Marekani. Wakati rais wa Marekani Donald Trump alipokuwa katika kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 na hata baada ya kuingia ikulu ya White House aliahidi kuwa atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Afghanistan. Hata hivyo pamoja na ahadi hiyo, askari wengi wa jeshi la Marekani wangaliko katika ardhi ya Afghanistan.
-
Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan
Jun 29, 2020 21:59Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, amesema kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Time kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan ni ya uongo.
-
Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan
Jun 27, 2020 22:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan.
-
Kuongezeka uzalishaji wa mihadarati ya mpopi Afghanistan chini ya kivuli cha kuwepo kijeshi Marekani
Jun 26, 2020 20:29Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na uhalifu na mihadarati imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa, tani 6,400 za madawa ya kulevya yanayotokana na mpopi zilizalishwa nchini Afghanistan katika mwaka uliopita wa 2019.
-
Rais wa Afghanistan: Serikali haina wasiwasi wowote juu ya kuondoka askari wa Marekani
Jun 25, 2020 22:00Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema, serikali ya nchi hiyo haina wasiwasi wowote juu ya suala la kuondoka askari wa Marekani nchini humo.
-
Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Jun 12, 2020 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kusema, hivi sasa ICC inahujumiwa na genge la wahalifu wambao wanajiarifisha kuwa ni wanadiplomasia."