Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Seneta wa Marekani akiri kwamba Washington ilifanya uvamizi wa wazi nchini Afghanistan

    Seneta wa Marekani akiri kwamba Washington ilifanya uvamizi wa wazi nchini Afghanistan

    Jun 05, 2020 22:26

    Seneta wa chama cha Republican na mkuu wa Kamati ya Sheria katika Bunge la Seneti nchini Marekani amesema kuwa uwepo wa askari wa nchi hiyo huko Afghanistan ni uvamizi wa wazi na ulio kinyume cha sheria.

  • Sisitizo la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi nchini Afghanistan

    Sisitizo la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi nchini Afghanistan

    Jun 01, 2020 12:49

    Mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesisitizia kuendelea kuwepo askari wa nchi yake nchini Afghanistan.

  • Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu

    Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu

    May 29, 2020 04:53

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.

  • Afghanistan yazitaka nchi za Kiislamu kulaani jinai za Wazayuni

    Afghanistan yazitaka nchi za Kiislamu kulaani jinai za Wazayuni

    May 22, 2020 06:38

    Baraza la 'Ikhwatul-Muslimin' katika jimbo la Balkh nchini Afghanistan limewataka viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu kuhitimisha kimya chao dhidi ya jinai zinazotendwa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya taifa madhlumu la Palestina.

  • Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    May 20, 2020 02:22

    Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.

  • Watu 47 wafariki dunia katika mapigano mapya nchini Afghanistan

    Watu 47 wafariki dunia katika mapigano mapya nchini Afghanistan

    May 19, 2020 20:20

    Watu 47 wamefariki dunia katika mapigano mapya kati ya jeshi la serikali ya Afghanistan na wanachama wa kundi la Taleban katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan

    Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan

    May 15, 2020 02:54

    Msemaji wa kundi la Taliban ametishia kuwa, kundi hilo litaendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya askari na taasisi za serikali ya Afghanistan.

  • Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia

    Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia

    May 12, 2020 01:38

    Baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilianzisha vita katika maeneo tofauti duniani kwa madai ya kupambana na ugaidi na hasa katika nchi mbili za Waislamu, za Afghanistan na Iraq ambazo hatimaye ilizikalia kwa mabavu.

  • Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'

    Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'

    May 06, 2020 03:28

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria juu ya uhusiano madhubuti baina ya taifa hili na Afghanistan, imekosoa vikali madai ya Marekani dhidi ya Tehran kuhusu tukio la kupoteza maisha raia wa Kiafghani katika eneo la Herat, mpakani mwa nchi mbili hizi.

  • Kuwa tayari timu ya Uthabiti na Utangamano kwa ajili ya mazungumzo na Ashraf Ghani

    Kuwa tayari timu ya Uthabiti na Utangamano kwa ajili ya mazungumzo na Ashraf Ghani

    May 05, 2020 23:35

    Timu ya uchaguzi ya “Uthabiti na Utangamano” inayoongozwa na Abdulllah Abdullah imetangaza kuwa, iko tayari kufanya mazungumzo na Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan kwa shabaha ya kuzuia kupunguzwa misaada ya kimataifa na kuendesha vita dhidi ya ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS