-
Iran yataka mapatano ya kusimamisha mapigano yaendelee nchini Afghanistan
Jun 17, 2018 10:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran imefurahishwa sana na mapatano ya kusimamisha mapigano baina ya kundi la Taleban na serikali ya Afghanistan kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr na ina hamu ya kuona mapatano hayo yanaendelea.
-
Sisitizo la Hamid Karzai la kufanyika mazungumzo ya amani ili kuwaondoa askari wa kigeni Afghanistan
Jun 17, 2018 07:15Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema kuwa njia pekee ya kuwaondoa askari wa kigeni katika nchi hiyo ni kufanyika mazungumzo ya amani yatakayosimamiwa na serikali ya Kabul.
-
Qassemi: Magaidi wamedhamiria kuvuruga uthabiti na usalama wa Afghanistan
Jun 16, 2018 22:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jimbo la Nangarhar nchini Afghanistan na kutuma salamu za kuifariji serikali na wananchi wa nchi hiyo.
-
Tangazo la Taliban la kusitisha vita na kupokewa vyema na serikali ya Afghanistan
Jun 10, 2018 22:11Serikali ya Afghanistan imetangaza kulikaribisha kwa mikono miwili tangazo lililotolewa na kundi la Taliban la kusitisha vita katika siku za Idul-Fitri.
-
Uungaji mkono wa kimataifa kwa Palestina; dalili ya kushindwa utawala ghasibu wa Israel
Jun 08, 2018 08:38Sambamba na kufanyika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, mikutano na makongamano yamefanyika katika pembe mbalimbali za dunia kwa ajili ya kutangazwa uungaji mkono kwa taifa madhlumu la Palestina na kulaaniwa jinai za Wazayuni dhidi ya taifa hilo.
-
Wito wa maulamaa wa Afghanistan wa kukomeshwa vita nchini humo
Jun 05, 2018 22:01Mashekhe na maulamaa elfu tatu wa Afghanistan wametoa wito wa kukomeshwa vita na machafuko nchini humo.
-
Rubani wa Russia apatikana hai baada ya ndege yake kutunguliwa miaka 30 iliyopita Afghanistan
Jun 02, 2018 22:11Rubani wa Russia ambaye alitoweka na ikadhaniwa amefariki baada ya ndege yake kutunguliwa miaka 30 iliyopita wakati wa hujuma ya Jeshi la Shirikisho la Sovieti ya zamani nchini Afghanistan, amepatikana akiwa hai na anataka kurudi nyumbani.
-
Mashambulizi ya NATO dhidi ya makazi ya raia kaskazini magharibi mwa Afghanistan
May 25, 2018 01:58Ndege za kivita za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO likiongozwa na Marekani limefanya mashambulizi katika maeneo mawili ya mkoa wa Badghis wa kaskazini magharibi mwa Afghanistan.
-
Qassemi: Nchi za Ulaya zitoe dhamana kuwa maslahi ya Iran yatazingatiwa katika mapatano ya JCPOA
May 21, 2018 08:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Katika muda mfupi uliosalia, nchi za Ulaya zinapaswa kutoa dhamana kuwa maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatalindwa baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA."
-
Leon Panetta: Serikali ya Trump inaficha ukweli kuhusiana na vita vya Afghanistan
May 14, 2018 22:11Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini Marekani Leon Panetta ameikosoa serikali ya Rais Donald Trump kwa kuficha ukweli wa mambo kuhusiana na kile kinachoendelea kuhusu vita nchini Afghanistan.