-
Iran: Watoto laki tatu wa Afghanistan wanasomeshwa bure hapa nchini
Apr 16, 2018 22:48Naibu Waziri wa Elimu nchini Iran amesema kuwa, jumla ya watoto laki mbili na 93 elfu 366 raia wa Afghanistan wanasoma elimu ya msingi katika shule mbalimbali nchini hapa.
-
Raia wa Afghanistan waandamana kulaani mauaji ya Marekani dhidi yao
Apr 05, 2018 02:53Raia wa mji wa Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za kila mara zinazofanywa na ndege za kijeshi za askari wa kigeni wakiongozwa na Marekani, katika maeneo tofauti ya nchi yao.
-
Pendekezo jipya la kujikwamua kutoka katika mkwamo wa mchakato wa amani Afghanistan
Apr 01, 2018 01:44Baraza Kuu la Mazungumzo ya Amani nchini Afghanistan limependekeza kuondoka askari wa kigeni nchini humo kama njia mpya ya kujitoa katika mkwamo.
-
Marekani yatuma askari zaidi nchini Afghanistan kwa madai ya kupambana na ugaidi
Mar 31, 2018 02:44Marekani imetuma askari zaidi nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la Daesh mjini Kabul, Afghanistan
Mar 21, 2018 10:33Kwa akali watu 29 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililolenga mkusanyiko wa watu waliokuwa wakiadhimisha sikukuu ya Nowruz, kuanza mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia, katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kuwepo kijeshi Marekani; sababu ya kuvurugika amani na kudhaminiwa maslahi ya Washington katika nchi husika
Feb 28, 2018 03:52Matokeo ya uchunguzi uliofanywa na taasisi ya RAND umeonyesha kuwa "misaada ya kijeshi inayotolewa na Marekani kwa nchi zingine ina uhusiano na kushtadi ukandamizaji unaofanywa na serikali na kuongezeka uwezekano wa kutokea vita vya ndani katika nchi hizo".
-
Ongezeko la askari wa Marekani nchini Afghanistan
Feb 25, 2018 23:09Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa, Marekani bado ina mpango wa kuongeza idadi ya askari wake nchini Afghanistan
-
Ongezeko la utumiaji wa wanawake wa Kiafghani katika magendo ya dawa za kulevya
Feb 21, 2018 04:30Msemaji wa Idara ya Kupambana na Magendo ya Dawa za Kulevya nchini Afghanistan amesema kuwa kumekuwepo ongezeko la utumiaji wa wanawake wa Kiafghani katika magendo ya dawa za kulevya.
-
Lengo la Marekani nchini Afghanistani sio kupambana na ugaidi
Feb 18, 2018 10:30Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema kuwa, lengo la Marekani katika uwepo wake kijeshi nchini humo, sio kupambana na ugaidi.
-
Waafghani wawasilisha mafaili milioni 1.4 ya jinai za kivita ICC
Feb 16, 2018 10:41Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepokea mafaili milioni moja na laki saba ya jinai za kivita kutoka kwa wananchi wa Afghanistan, ndani ya muda wa miezi mitatu.