-
Ayatullah Makarim Shirazi: Fikra ya ukufurishaji ya Uwahabi ni hatari kubwa kwa ulimwengu
Feb 16, 2018 01:16Ayatullah Naser Makarem Shirazi, mmoja wa wanazuoni wakubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa, hii leo ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na hatari ya fikra za ukufurishaji.
-
Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko Afghanistan
Feb 16, 2018 01:04Mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, nchi za eneo hili haziwezi kuamini mipango ya Marekani nchini Afghanistan, hususan juu ya madai ya viongozi wa Washington kwamba wanapambana na ugaidi na madawa ya kulevya.
-
Russia: Ushahidi unathibitisha Marekani inahamisha magaidi wa Daesh na kuwapeleka Afghanistan
Feb 09, 2018 01:04Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rassia katika Masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Moscow ina ushahidi unaothibitisha kuwa, Marekani na Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO) zinahusika katika kuwahamisha magaidi wa Daesh kutoka Iraq na Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Kuelekezewa kidole cha shutuma Marekani za kuwasha moto wa vita Afghanistan
Feb 08, 2018 07:34Hamid Karzai, rais wa zamani wa Afghanistan ameishutumu Marekani kuwa inakoleza moto wa vita ndani ya nchi hiyo kwa ajili ya manufaa na maslahi yake.
-
Qassemi: Iran haitakubali sharti lolote lile kuhusiana na safari ya Rais wa Ufaransa mjini Tehran
Feb 05, 2018 13:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitakubali sharti lolote lile kwa ajili ya safari ijayo ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa hapa nchini.
-
Kiongozi: Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo
Jan 30, 2018 04:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kuuawa watu wasio na hatia katika hujuma za hivi karibuni za kigaidi nchini Afganistan na kusema: "Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS (Daesh) ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo sambamba na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni."
-
Iran: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kuangamiza zimwi la ugaidi
Jan 28, 2018 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulizi la kigaidi lilioutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul hapo jana na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Miripuko ya kigaidi yazidi kuisakama Afghanistan, zaidi ya watu 60 wauawa mjini Kabul
Jan 27, 2018 13:33Habari kutoka Afghanistan zinaarifu kwamba kwa akali watu 60 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kutegwa ndani ya gari la kubebea wagonjwa katikati ya Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Magaidi wa Taliban wahujumu hoteli ya InterContinental Kabul na kuua watu sita
Jan 21, 2018 10:36Kundi la kigaidi la Taliban limedai kuhusika na hujuma dhidi ya hoteli ya kifahari ya InterContinental katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul ambapo raia sita wameuawa.
-
Boroujerdi: Afghanistan na Afrika walengwa wa baadaye wa Daesh
Jan 12, 2018 10:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa magaidi wa kundi la Daesh sasa wameelekea nchini Afghanistan na watajipenyeza pia katika nchi za Kafrika kama ilivyokuwa huko nyuma.