Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Iran yalaani shambulio la kigaidi la Kabul, Afghanistan

    Iran yalaani shambulio la kigaidi la Kabul, Afghanistan

    Dec 28, 2017 12:49

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi la kujitolea mhanga dhidi ya kituo kimoja cha masuala ya kiutamaduni na ofisi ya Shirika la Habari la Afghan Voice News katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • 40 wauawa katika shambulizi la kigaidi Kabul, Afghanistan

    40 wauawa katika shambulizi la kigaidi Kabul, Afghanistan

    Dec 28, 2017 04:32

    Kwa akali watu 40 wameuwa na wengine 30 kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Larijani: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote ya Afghanistan na Mashariki ya Kati

    Larijani: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote ya Afghanistan na Mashariki ya Kati

    Dec 26, 2017 00:15

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani ndio chimbuko la matatizo yote ya Afghanistan na eneo la Mashariki ya Kati kwa ujumla.

  • Russia yatoa indhari: Kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa DAESH (ISIS) nchini Afghanistan

    Russia yatoa indhari: Kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa DAESH (ISIS) nchini Afghanistan

    Dec 24, 2017 13:10

    Mjumbe maalumu wa rais wa Russia nchini Afghanistan ametoa indhari kuwa wanachama zaidi ya elfu kumi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh hivi sasa wako nchini Afghanistan na kwamba idadi yao inazidi kuongezeka kutokana na kubadilisha maskani yake kundi hilo baada ya kusambaratishwa katika nchi za Syria na Iraq.

  • Kukiri shirika la Kimarekani kuwa limekwenda Afghanistan kupora madini

    Kukiri shirika la Kimarekani kuwa limekwenda Afghanistan kupora madini

    Dec 10, 2017 08:09

    Kwa mara ya kwanza kabisa, shirika la Kimarekani-Kizayuni la Blackwater limekiri kuwa madini ndiyo yaliyolivutia kwenda nchini Afghanistan.

  • ICC kuchunguza jinai za Marekani nchini Afghansitan

    ICC kuchunguza jinai za Marekani nchini Afghansitan

    Nov 21, 2017 04:33

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imeanza kufanya uchunguzi kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizotekelezwa na majeshi yanayoongozwa na Marekani nchini Afghanistan.

  • Askari wa US 'wapewa kibali' cha kuwabaka watoto wadogo nchini Afghanistan

    Askari wa US 'wapewa kibali' cha kuwabaka watoto wadogo nchini Afghanistan

    Nov 18, 2017 04:40

    Wanajeshi wa Marekani waliotumwa nchini Afghnistan walifahamishwa kuwa suala la vijana kubakwa hususan wa kiume wa nchi hiyo ni utamaduni unaokubalika.

  • Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani

    Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani

    Nov 16, 2017 23:13

    Abdullah Abdullah, Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Afghanistan, kwa mara nyengine tena ametoa wito wa kulitaka kundi la Taliban lijiunge na mchakato wa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.

  • Karzai: Marekani inashirikiana na ISIS (Daesh) nchini Afghanistan

    Karzai: Marekani inashirikiana na ISIS (Daesh) nchini Afghanistan

    Nov 12, 2017 10:11

    Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema Marekani inafanya kazi bega kwa bega na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi hiyo inayoshuhudia vita na ukosefu wa uthabiti kwa miaka mingi sasa.

  • Russia: Uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi la anga la Marekani Kunduz, Afghanistan

    Russia: Uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi la anga la Marekani Kunduz, Afghanistan

    Nov 12, 2017 01:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewataka maafisa wa serikali ya Afghanistan na taasisi za kimaraifa za kutetea haki za binadamu wafanye uchunguzi kamili na usiopendelea upande wowote kuhusu shambulizi la anga la Marekani katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS