Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Marekani yaendelea kuua raia wasio na hatia nchini Afghanistan katika hujuma ya anga

    Marekani yaendelea kuua raia wasio na hatia nchini Afghanistan katika hujuma ya anga

    Nov 09, 2017 04:23

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA umesema mashambulizi ya anga ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na ndege ya kivita ya Marekani yameua raia wasiopungua 10.

  • Abdullah Abdullah: Askari wa kigeni waondoke nchini Afghanistan, hatuwahitaji

    Abdullah Abdullah: Askari wa kigeni waondoke nchini Afghanistan, hatuwahitaji

    Nov 01, 2017 09:09

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah amewataka askari wa kigeni wanaoongozwa na Marekani waondoke nchini humo.

  • Iran yalaani mashambulio ya kigaidi ndani ya misikiti nchini Afghanistan

    Iran yalaani mashambulio ya kigaidi ndani ya misikiti nchini Afghanistan

    Oct 21, 2017 04:16

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulio ya kigaidi yaliyolenga misikiti miwili katika miji ya Kabul na Ghor nchini Afghanistan hapo jana na kusababisha kuuawa na kujeruhiwa makumi ya waumini waliokuwemo ndani ya misikiti hiyo.

  • 71 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi ya Taliban, Afghanistan

    71 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi ya Taliban, Afghanistan

    Oct 17, 2017 11:41

    Watu wasiopungua 71 wameuawa huku wengine 200 wakijeruhiwa katika wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi ya kundi la Taliban nchini Afghanistan leo Jumanne.

  • Rais Rouhani: Matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya Afghanistan ni ya kutatuliwa kieneo

    Rais Rouhani: Matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya Afghanistan ni ya kutatuliwa kieneo

    Sep 12, 2017 00:10

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo yale yanayoikabili Afghanistan yanaweza kupatiwa ufumbuzi kieneo na kwamba, katu matatizo hayo hayawezi kutatuliwa na maajinabi na madola kutoka nje ya eneo hili.

  • Marekani yaendeleza ukatili wake, yaua raia 30 Afghanistan

    Marekani yaendeleza ukatili wake, yaua raia 30 Afghanistan

    Aug 30, 2017 22:22

    Makumi ya raia wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege ya kivita ya Marekani katika mkoa wa Logar, mashariki mwa Afghanistan.

  • 14 wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi karibu na ubalozi wa US, Kabul

    14 wauawa, kujeruhiwa katika shambulizi karibu na ubalozi wa US, Kabul

    Aug 29, 2017 03:12

    Habari kutoka Afghanistan zinasema, kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulizi la bomu lililotokea karibu na ubalozi wa Marekani mjini Kabul hii leo.

  • Askari wa jeshi la anga la Uingereza waungana na wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan

    Askari wa jeshi la anga la Uingereza waungana na wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan

    Aug 27, 2017 23:29

    Gazeti moja la kila wiki linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa kikosi maalumu cha askari wa jeshi la anga la nchi hiyo wanatazamia kuelekea Afghanistan ili kuunga mkono stratejia mpya ya kijeshi iliyotangazwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kile alichokitaja kuwa ugaidi huko Afghanistan.

  • Russia: Stratejia mpya ya US nchini Afghanistan, hatima isiyo na tija

    Russia: Stratejia mpya ya US nchini Afghanistan, hatima isiyo na tija

    Aug 24, 2017 09:49

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema stratejia mpya ya kijeshi ya Washington kuhusiana na Afghanistan itagonga mwamba kwa kuwa inasisitizia utumiaji wa mabavu.

  • Stratijia mpya ya kijeshi ya Marekani nchini Afghanistan

    Stratijia mpya ya kijeshi ya Marekani nchini Afghanistan

    Aug 23, 2017 07:22

    Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mizozano katika timu ya usalama wa taifa ya Marekani, siku ya Jumatatu iliyopita Rais wa nchi hiyo Donald Trump, alitangaza stratijia mpya ya vita ya Washington kuhusiana na Afghanistan sambamba na mpango wa kutuma askari zaidi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS