Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    NATO yaunga mkono stratejia mpya ya Marekani kuhusu Afghanistan

    Aug 22, 2017 23:12

    Muungano wa Kijeshi wa NATO umeunga mkono uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuongeza wanajeshi wengine nchini Afghanistan katika kalibu ya stratejia mpya ya Washington.

  • Taliban kuigeuza ardhi ya Afghanistan 'makaburi' ya askari wa Marekani

    Taliban kuigeuza ardhi ya Afghanistan 'makaburi' ya askari wa Marekani

    Aug 22, 2017 10:59

    Kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan limetangaza kuwa litaigeuza nchi hiyo "eneo la makaburi" ya askari wa Marekani baada ya nchi hiyo kutangaza kuwa itaendelea kuikalia kwa mabavu nchi hiyo ya bara la Asia.

  • Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan

    Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan

    Aug 20, 2017 02:20

    Serikali ya Russia imetangaza kuwa, hatua ya Marekani na jumuiya ya kijeshi ya nchi za Magharibi NATO ya kutopambana na dawa za kulevya nchini Afghanistan licha ya kushadidi uzalishaji na magendo ya dawa hizo, inatia shaka na kustaajabisha.

  • Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake

    Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake

    Aug 15, 2017 02:43

    Mjumbe maalumu wa Rais wa Russia nchini Afghanistan amesema kampeni na uwepo wa vikosi vya Marekani nchini Afghanistan haujawa na tija yeyote hadi sasa na kwa msingi huo Washington inafaa kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo mara moja.

  • Askari wa Afghanistan waandamana kulaani kitendo cha kuandikwa majina ya Mungu na Mtume katika soksi zao

    Askari wa Afghanistan waandamana kulaani kitendo cha kuandikwa majina ya Mungu na Mtume katika soksi zao

    Aug 12, 2017 08:34

    Mamia ya askari wa Afghanistan wameandamana wakilalamikia na kulaani kitendo cha kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Marekani yaua raia 16 katika hujuma ya anga Afghanistan

    Marekani yaua raia 16 katika hujuma ya anga Afghanistan

    Aug 12, 2017 02:29

    Kwa akali raia 16 wameuawa kufuatia shambulizi la anga la muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi unaoongozwa na Marekani nchini Afghanistan.

  • Waafghani: Marekani ndiyo chanzo cha ongezeko la dawa za kulevya nchini

    Waafghani: Marekani ndiyo chanzo cha ongezeko la dawa za kulevya nchini

    Aug 08, 2017 22:05

    Raia wa Afghanistan wameendelea kuitaja Marekani kwamba, ndio muhusika mkuu wa ongezeko la uzalishaji wa madawa ya kulevya nchini humo.

  • Waziri wa Afghanistan: Marekani ni chanzo kikuu cha uzalishaji madawa ya kulevya

    Waziri wa Afghanistan: Marekani ni chanzo kikuu cha uzalishaji madawa ya kulevya

    Aug 06, 2017 23:18

    Waziri wa Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini Afghanistan amesema kuwa, madola ya Magharibi ikiwemo Marekani ndio wahusika wakuu wa ongezeko la uzalishaji wa madawa ya kulevya nchini humo.

  • Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi, Afghanistan

    Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi, Afghanistan

    Aug 02, 2017 03:38

    Habari kutoka Afghanistan zinaarifu kwamba, makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti mmoja wa Waislamu wa madhehebu ya Shia lililotokea jana jioni mjini Herat, magharibi mwa nchi hiyo.

  • Onyo la Abdullah Abdullah kwa Marekani kufuatia mashambulizi yake nchini Afghanistan

    Onyo la Abdullah Abdullah kwa Marekani kufuatia mashambulizi yake nchini Afghanistan

    Jul 26, 2017 02:48

    Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah amekosoa vikali mashambulizi ya jeshi la Marekani kwenye kambi za jeshi la serikali mkoani Helmand nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS