-
Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake
Nov 30, 2023 00:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.
-
Makumi wauawa Sierra Leone, wafungwa 2,000 watoroka jela
Nov 28, 2023 02:36Makumi ya watu waliuawa huku wafungwa karibu 2,000 wakitoroka jela katika mashambulio ya Jumapili dhidi ya kambi ya jeshi, gereza na maeneo mengine nchini Sierra Leone.
-
Utulivu warejea Sierra Leone, amri ya kutotoka nje usiku yatenguliwa
Nov 27, 2023 08:27Sierra Leone imetengua amri ya nchi nzima ya kutotoka nje usiku iliyotangazwa jana Jumapili huku hali ya utulivu ikirejea, siku moja baada ya watu wasiojulikana na waliokuwa wamejizatiti kwa silaha kushambulia kambi moja ya kijeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Freetown.
-
Chanjo ya Malaria kusambazwa pakubwa barani Afrika
Nov 23, 2023 23:53Umoja wa Mataifa umetangaza kuhusu mpango wa kuongezwa chanjo za malaria zitakazotolewa kote barani Afrika baada ya shehena ya kwanza ya dozi kuwasili Cameroon.
-
Rais wa zamani wa Nigeria: Demokrasia ya Magharibi imefeli barani Afrika
Nov 21, 2023 23:59Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo amesema, demokrasia ya Magharibi imeshindwa kufanya kazi kama mfumo wa serikali barani Afrika kwa sababu iliwekwa na mamlaka za kikoloni.
-
Wiki chache za mafuriko ya maafa katika Pembe ya Afrika
Nov 18, 2023 04:22Mafuriko makubwa katika eneo la Pembe ya Afrika yamesababisha zaidi ya watu mia moja kupoteza maisha na mamia kwa maelfu ya wengine kuhama makazi yao.
-
Russia yaripoti ukuaji mkubwa wa biashara na Afrika
Oct 02, 2023 23:13Mauzo ya biashara kati ya Russia na nchi za Afrika yameongezeka kwa asilimia 43.5 katika miezi minane ya kwanza ya 2023 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka mmoja uliopita, RBK ya kila siku ya biashara iliripoti jana Jumatatu, ikinukuu Wizara ya Uchumi ya Russia.
-
Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia
Sep 23, 2023 00:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.
-
Paris yaakiri kushindwa kwa sera zake za kikoloni barani Afrika
Sep 06, 2023 23:07Mapinduzi mtawalia yaliyotokea katika nchi kadhaa za Kiafrika kama Niger na Gabon, ambayo amepongezwa na kupokewa kwa shangwe na wananchi, yamegeuka kuwa harakati kubwa dhidi ya ukoloni mpya na mamboleo wa Ufaransa barani Afrika.
-
Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho
Sep 04, 2023 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni na ugaidi, na kuyataja kuwa ni ishara ya mwamko, kuwa macho na utambuzi sahihi wa mahitaji ya zama ya nchi hizo.