Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Aug 24, 2023 04:23

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.

  • EU yashutumiwa kwa kuwabagua wakimbizi wa Kiafrika

    EU yashutumiwa kwa kuwabagua wakimbizi wa Kiafrika

    Aug 19, 2023 00:22

    Umoja wa Ulaya umeendelea kukosolewa kwa kutekeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakimbizi kutoka Ukraine kwa upande mmoja, na wale wanaotoka nchi za Afrika na bara Asia kwa upande wa pili.

  • Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika

    Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika

    Aug 09, 2023 08:10

    Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.

  • Msisitizo wa Russia katika kupanua uhusiano wa kina na nchi za Afrika

    Msisitizo wa Russia katika kupanua uhusiano wa kina na nchi za Afrika

    Jul 29, 2023 23:00

    Vladimir Putin, Rais wa Rusia, amesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano wa kina na nchi za Kiafrika akisema: Russia itatuma nafaka za bure kwa nchi 6 za Afrika katika miezi michache ijayo.

  • Putin: Russia itazipatia nafaka nchi sita za Kiafrika ndani ya muda wa miezi michache ijayo

    Putin: Russia itazipatia nafaka nchi sita za Kiafrika ndani ya muda wa miezi michache ijayo

    Jul 28, 2023 04:19

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake inaweza kuchukua nafasi ya Ukraine ya usambazaji wa nafaka kwa bara la Afrika na kutangaza kuwa Moscow itatuma nafaka bila malipo kwa nchi sita za Kiafrika katika kipindi cha miezi michache ijayo.

  • Nafasi muhimu ya Afrika katika soko la nishati duniani

    Nafasi muhimu ya Afrika katika soko la nishati duniani

    Jul 19, 2023 23:14

    Gazeti la Economist limetabiri kuwa Afrika itakuwa na nafasi muhimu katika soko la nishati duniani katika siku zijazo kutokana na rasilimali zake nyingi za gesi asilia, mwanga wa jua na upepo.

  • Mchakato wa kupeleka barani Afrika; vifaa 50 vya tiba na zaidi ya aina 10 za dawa za Iran umeanza

    Mchakato wa kupeleka barani Afrika; vifaa 50 vya tiba na zaidi ya aina 10 za dawa za Iran umeanza

    Jul 14, 2023 23:15

    Mkuu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Taasisi ya Sayansi, Teknolojia na Uchumi cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kinachohusiana na mashirika ya elimu na maarifa amesema kuwa, mchakato wa kupeleka vifaa 50 vya matibabu na zaidi ya aina 10 za dawa za Iran barani Afrika, umeanza.

  • Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uganda

    Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uganda

    Jul 13, 2023 07:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano jioni aliwasili Kampala katika safari rasmi ya siku mbili nchini Uganda ikiwa ni katika duru pili ya safari yake ya kikanda katika bara la Afrika. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.

  • Amir Abdollahian: Afrika ni bara lenye fursa nyingi zinazoendelea kuibuka

    Amir Abdollahian: Afrika ni bara lenye fursa nyingi zinazoendelea kuibuka

    Jul 12, 2023 08:07

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema bara la Afrika lililo na jamii kubwa ya vijana, watu wazuri na wenye uchangamfu lina fursa nzuri na zinazoendelea kuimarika kwa manufaa ya wenyeji wa bara hilo na wawawekezaji wa kigeni.

  • Viongozi wa Afrika wajadili njia za kupunguza rushwa barani humo

    Viongozi wa Afrika wajadili njia za kupunguza rushwa barani humo

    Jul 09, 2023 08:38

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar nchini Tanzania, Hemed Suleman Abdulla amezitaka nchi mbalimbali barani Afrika kushirikiana na kushikamana ili kupunguza vitendo vya rushwa barani humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS