Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Watu milioni 81 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na ukame Afrika

    Watu milioni 81 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na ukame Afrika

    Mar 30, 2023 04:12

    Zaidi ya watu milioni 81 barani Afrika wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na ukame.

  • Russia: Nchi za Afrika zina haki ya kuchagua ziwe na ushirika na nani na kwa masharti gani

    Russia: Nchi za Afrika zina haki ya kuchagua ziwe na ushirika na nani na kwa masharti gani

    Mar 29, 2023 03:40

    Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, nchi za bara la Afrika zina haki ya kuchagua washirika wao wa usalama, hasa baada ya nchi za Magharibi kushindwa kuleta utulivu na uthabiti katika bara hilo.

  • Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika

    Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika

    Mar 27, 2023 22:41

    Jenerali wa jeshi la Marekani amekiri kuwa "maadili ya msingi" ya Pentagon yanayofundishwa kwa makumi ya maelfu ya maafisa wa kijeshi wa Kiafrika yanaendana na mapinduzi ya kijeshi.

  • Ripoti: Vifo vya hujuma za kigaidi eneo la Sahel vimeongezeka kwa 2000%

    Ripoti: Vifo vya hujuma za kigaidi eneo la Sahel vimeongezeka kwa 2000%

    Mar 23, 2023 22:53

    Ripoti mpya iliyochapishwa na taasisi moja inayofuatilia mashambulizi na mieiendo ya makundi ya kigaidi duniani inasema kuwa, vifo vinavyotokana na hujuma za kigaidi katika eneo la Sahel barani Afrika vimeongezeka kwa asilimia 2000 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.

  • WHO: Nchi 37 za Afrika zinakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya

    WHO: Nchi 37 za Afrika zinakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya

    Mar 15, 2023 08:41

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 37 za bara Afrika zinakabiliwa na hatari kutokana na uhaba wa wahudumu wa afya.

  • UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika

    UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika

    Mar 08, 2023 06:17

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu ongezeko la kutisha la kesi za utapiamlo mkali miongoni mwa wanawake wajawazito hususan katika nchi za Afrika.

  • Mchango wa NATO katika kuimarika magaidi barani Afrika

    Mchango wa NATO katika kuimarika magaidi barani Afrika

    Mar 07, 2023 22:55

    Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu katika maeneo mbalibali barani Afrika hususan katika eneo la Sahel Afrika umekuwa tatizo na kikwazo cha kurejesha amani katika mataifa ya aeneo hilo.

  • Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi

    Mar 07, 2023 04:16

    Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.

  • AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    Mar 07, 2023 03:56

    Viongozi wa sekta za afya Afrika wamesema dunia haitafanikiwa kuwa na usalama wa afya, iwapo nchi za bara hilo zitaendelea kutengwa.

  • Mafuriko yahofiwa kuongeza hatari ya kipindupindu barani Afrika

    Mafuriko yahofiwa kuongeza hatari ya kipindupindu barani Afrika

    Mar 03, 2023 04:14

    Shirika la Afya Duniani WHO limetahadharisha kuwa, ingawa idadi ya wagonjwa wa kipindupindu ya kila wiki katika nchi zilizoathirika na mripuko wa ugonjwa huo barani Afrika inapungua, lakini mafuriko makubwa yanayotokana na mvua za msimu na vimbunga vya kitropiki kusini mwa Afrika yanaongeza hatari ya ugonjwa huo kuenea na kutishia kudhoofisha juhudi za kuudhibiti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS