-
Ujerumani: Tunaunga mkono Afrika iwe mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN
May 06, 2023 08:42Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema nchi yake inaunga mkono mpango wa bara la Afrika kuwa na uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
NGO's: Mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 kuanzia Sahel hadi Pembe ya Afrika
Apr 28, 2023 07:57Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali yametangaza kwamba mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 katika nchi za Ethiopia, Kenya na Somalia, huku watu milioni 18.6 wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika eneo la Sahel barani Afrika.
-
Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kupundukia dola bilioni 2
Apr 24, 2023 10:44Mkurugenzi wa Idara ya Masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametabiri kuwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika kitafika zaidi ya dola bilioni mbili.
-
WHO: Malaria bado ni tishio kwa Afrika
Apr 23, 2023 22:01Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa malaria, bado inatambuliwa kuwa tishio kwa bara la Afrika, haswa kutokana na kuongezeka usugu wa maradhi hayo kwa matibabu, licha ya chanjo zinazotolewa za kukabiliana na malaria.
-
Waafrika wamwambia Makamu wa Rais wa Marekani: Hatutaki ushoga
Mar 30, 2023 08:41Ziara inayofanywa na Makamu wa Rais wa Marekani katika nchi tatu za Afrika imeambatana na malalamiko na wasiwasi mkubwa baina ya raia wa nchi za Afrika ambao wanamini kuwa moja ya malengo muhimu ya kiongozi huyo wa ngazi za juu wa Marekani barani Afrika ni kupigia debe ushoga na usagaji.
-
Watu milioni 81 wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na ukame Afrika
Mar 30, 2023 04:12Zaidi ya watu milioni 81 barani Afrika wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula na ukame.
-
Russia: Nchi za Afrika zina haki ya kuchagua ziwe na ushirika na nani na kwa masharti gani
Mar 29, 2023 03:40Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, nchi za bara la Afrika zina haki ya kuchagua washirika wao wa usalama, hasa baada ya nchi za Magharibi kushindwa kuleta utulivu na uthabiti katika bara hilo.
-
Kukiri kamanda wa Marekani wa AFRICOM juu ya kutoa mafunzo kwa vinara wa mapinduzi barani Afrika
Mar 27, 2023 22:41Jenerali wa jeshi la Marekani amekiri kuwa "maadili ya msingi" ya Pentagon yanayofundishwa kwa makumi ya maelfu ya maafisa wa kijeshi wa Kiafrika yanaendana na mapinduzi ya kijeshi.
-
Ripoti: Vifo vya hujuma za kigaidi eneo la Sahel vimeongezeka kwa 2000%
Mar 23, 2023 22:53Ripoti mpya iliyochapishwa na taasisi moja inayofuatilia mashambulizi na mieiendo ya makundi ya kigaidi duniani inasema kuwa, vifo vinavyotokana na hujuma za kigaidi katika eneo la Sahel barani Afrika vimeongezeka kwa asilimia 2000 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.
-
WHO: Nchi 37 za Afrika zinakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya
Mar 15, 2023 08:41Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 37 za bara Afrika zinakabiliwa na hatari kutokana na uhaba wa wahudumu wa afya.