-
UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika
Mar 08, 2023 06:17Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu ongezeko la kutisha la kesi za utapiamlo mkali miongoni mwa wanawake wajawazito hususan katika nchi za Afrika.
-
Mchango wa NATO katika kuimarika magaidi barani Afrika
Mar 07, 2023 22:55Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu katika maeneo mbalibali barani Afrika hususan katika eneo la Sahel Afrika umekuwa tatizo na kikwazo cha kurejesha amani katika mataifa ya aeneo hilo.
-
Iran yasaini hati 20 za ushirikiano na nchi za Afrika Magharibi
Mar 07, 2023 04:16Maafisa wa ngazi za juu wa Iran wamesema kupanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni moja ya sera kuu za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.
-
AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika
Mar 07, 2023 03:56Viongozi wa sekta za afya Afrika wamesema dunia haitafanikiwa kuwa na usalama wa afya, iwapo nchi za bara hilo zitaendelea kutengwa.
-
Mafuriko yahofiwa kuongeza hatari ya kipindupindu barani Afrika
Mar 03, 2023 04:14Shirika la Afya Duniani WHO limetahadharisha kuwa, ingawa idadi ya wagonjwa wa kipindupindu ya kila wiki katika nchi zilizoathirika na mripuko wa ugonjwa huo barani Afrika inapungua, lakini mafuriko makubwa yanayotokana na mvua za msimu na vimbunga vya kitropiki kusini mwa Afrika yanaongeza hatari ya ugonjwa huo kuenea na kutishia kudhoofisha juhudi za kuudhibiti.
-
Juhudi za Macron za kutetea kupunguzwa vikosi vya jeshi la Ufaransa barani Afrika
Mar 01, 2023 22:49Katika mkesha wa safari ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, barani Afrika ambayo inafanyika baada ya nchi hiyo kushindwa na kufeli sera zake barani Afrika; kiongozi huyo wa Ufaransa ametangaza kupunguzwa kwa vikosi vya jeshi vya Ufaransa katika bara hilo.
-
Mali: Russia ni mshirika wa kutegemewa wa nchi za Afrika
Feb 28, 2023 22:50Kaimu Waziri Mkuu wa Mali amesema Russia inaliheshimu na imelisaidia pakubwa taifa hilo la Afrika Magharibi katika vita dhidi ya ugaidi, na imethibitisha kivitendo kuwa haina masharti wala malengo fiche kwenye usaidizi wake.
-
Makamu wa Rais wa Iran: Kutanua uhusiano na nchi za Kiafrika ni sera kuu ya Iran
Feb 28, 2023 04:05Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amekutaja kupanua uhusiano na maingiliano na nchi za Kiafrika hususan Zimbabwe kuwa ni moja ya njia kuu za sera za kigeni za Iran.
-
Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia
Feb 26, 2023 08:00Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi za Afrika hivi sasa zinashuhudia mashinikizo makubwa ya kuzitaka zikate uhusiano wao na Russia.
-
Ukame mkubwa umelikumba eneo la Pembe ya Afrika kuliko njaa ya mwaka 2011
Feb 23, 2023 03:24Mwenendo wa ukame katika Pembe ya Afrika unaripotiwa kuwa mbaya zaidi hivi sasa kuliko ilivyokuwa wakati wa njaa ya 2011 ambapo mamia ya maelfu ya watu waliaga dunia.