-
TICAD inaimarisha vipi nafasi ya Afrika katika siasa na uchumi wa dunia?
Aug 25, 2025 02:31Mkutano wa 9 wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika, Tokyo International Conference on African Development (TICAD), ulimalizika Ijumaa, Agosti 22 kwa kusainiwa mikataba takriban 300 ya ushirikiano kati ya taasisi za Japan na Afrika kuhusu masuala mbalimbali ya afya, teknolojia, elimu, kilimo, maendeleo ya miundombinu na ujenzi wa miundomsingi.
-
Makubaliano ya amani ya DRC: Maeneo yanayodhibitiwa na M23 kurejeshwa mikononi mwa serikali
Aug 21, 2025 09:54Makubaliano ya amani yaliyopendekezwa kati ya serikali ya Congo na waasi wa M23 wanaodaiwa kuuungwa mkono na Rwanda yanataka kurejesha udhibiti wa serikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi.
-
Kwa nini utawala wa kizayuni wa Israel unataka kuzidisha satua na ushawishi wake barani Afrika?
Aug 21, 2025 02:59Katika mwendelezo wa hatua za kujaribu kuwa na satua na ushawishi katika nchi za Kiafrika, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa kizayuni wa Israel Gideon Saar siku ya Jumanne alielekea Zambia katika safari ya kidiplomasia barani Afrika, madhumuni makuu yakiwa ni kufungua ubalozi wa utawala huo haramu nchini humo.
-
Mratibu wa UN: Sahel inakabiliwa na mzozo wa usalama lakini pia ni 'eneo la fursa na matumaini'
Jul 30, 2025 07:58Eneo la Sahel barani Afrika limeendelea kuathiriwa na mzozo tata wa usalama na ongezeko la machafuko ambayo yanatishia mamilioni ya watu.
-
Kuondoa jeshi la Ufaransa nchini Senegal ni kikwazo kwa sera ya nje ya Paris barani Afrika
Jul 28, 2025 12:14Kuondoka kwa vikosi vya jeshi la Ufaransa katika kambi ya mwisho ya nchi hiyo huko Senegal na matamshi mbayo hayajawahi kutolewa hapo kabla ya afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Paris kwamba usalama wa Afrika Magharibi si muhimu kwa Ufaransa, kunadhihirisha kushindwa kwa sera ya muda mrefu ya ukoloni katika Bara la Afrika.
-
Ufaransa yasisitiza uwakilishi zaidi wa nchi za Kiafrika katika Baraza la Usalama la UN
Jul 23, 2025 10:51Mwakilishi wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa Paris inaunga mkono kufanyika mageuzi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) ili kuongeza uwakilishi wa mataifa ya Afrika katika taasisi hiyo ya kimataifa.
-
M23, DRC zatia saini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Qatar
Jul 19, 2025 13:48Wawakilishi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wametia saini makubaliano ya kusitisha mapigano mashariki mwa DRC, leo Jumamosi nchini Qatar.
-
AU yamteua Rais wa Burundi kuwa mjumbe wake maalum eneo la Sahel
Jul 18, 2025 13:50Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco ametangaza kumteua Evariste Ndayishimiye, Rais wa Burundi, kuwa mjumbe wake maalum katika eneo la Sahel.
-
Eswatini kuwatimua wahamiaji 'sugu' kutoka US baada ya malalamiko
Jul 17, 2025 04:59Serikali ya Eswatini ilisema jana Jumatano kwamba, inawashikilia raia watano wa nchi ya tatu waliofukuzwa kutoka Marekani katika magereza yaliyotengwa, chini ya makubaliano na utawala wa Rais Donald Trump, lakini inapania kuwarejesha katika nchi zao.
-
Afrika imenakili vifo 4,200 vya kipindupindu na mpox 2025
Jul 12, 2025 12:52Afrika imerekodi vifo zaidi ya 4,200 kutokana na miripuko ya kipindupindu na mpox inayoendelea kuripotiwa katika maeneo tofauti ya bara hilo mwaka 2025, Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) kimesema.