-
Afrika yaagiza dozi milioni 400 zaidi za Covid-19
Jan 29, 2021 04:08Kituo cha Umoja wa Afrika cha kudhibiti na kuzuia magonjwa (Africa-CDC) kimesema bara hilo limefanikiwa kuagiza dozi milioni 400 za chanjo za Covid-19 zaidi, baada ya kuagiza dozi milioni 270 za chanjo hizo hapo awali.
-
Mamia ya mamilioni ya Waafrika wanangojea kupatiwa chanjo ya corona
Jan 24, 2021 10:26Kuzuka kirusi kinachosambaa kwa kasi zaidi cha corona barani Afrika kumesababisha kuongezeka kwa kasi idadi ya watu wanaoambukizwa maradhi ya Covid-19 barani humo; na kutokana na hali hiyo, kupatiwa chanjo ya kinga ndiyo matumaini pekee waliyonayo sasa watu wa bara hilo kwa ajili ya kukabiliana na maradhi hayo.
-
Corona imeua wanahabari 28 barani Afrika tokea Machi 2020
Jan 06, 2021 23:07Shirika moja la kufuatilia maslahi ya waandishi wa habari la Uswisi limesema jumla ya waandishi wa habari 600 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 kote duniani tokea mwezi Machi mwaka uliomalizika 2020 hadi sasa, ambapo 28 miongoni mwao ni wa nchi za Afrika.
-
Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika
Jan 03, 2021 08:53Uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika maeneo mbalimbali barani Afrika ungali unaendelea.
-
Zimbabwe yaanza tena kutekeleza karantini nchi nzima
Jan 03, 2021 04:29Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwa sheria ya karantini ya nchi nzuma imeanza kutekelezwa nchini humo kwa mara nyingine tena kuanza jana usiku kutokana na kuongezeka maambukizi mapya ya corona.
-
Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, laanza rasmi kazi
Jan 01, 2021 23:15Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, limezinduliwa rasmi Januari Mosi 2021 ikiwa ni hatua kubwa katika kujumuisha soko la pamoja la nchi za Afrika.
-
CDC yaonya dhidi ya hatari ya kuicheleweshea Afrika chanjo ya Covid-19
Jan 01, 2021 00:45Taasisi kuu ya kudhibiti magonjwa barani Afrika imetahadharisha kuwa, dunia itajiingiza katika matatizo ya kimaadili iwapo nchi za Afrika zitachelewa kupokea chanjo za ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo aghalabu ya nchi tajiri duniani zimeanza kuwachanja wananchi wao.
-
Afrika Kusini yaweka sheria kali baada ya kesi za corona kupindukia milioni 1
Dec 29, 2020 00:15Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza sheria kali za kudhibiti msambao wa virusi vya corona, baada ya nchi hiyo kusajili kesi zaidi ya milioni moja ya ugonjwa wa Covid-19 kufikia sasa.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 10:15Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.
-
WHO yataka kukabiliana kwa njia bora na maambukizi ya corona barani Afrika
Dec 18, 2020 08:50Shirika la Afya Duniani (WHO) limetaka kuzidishwa hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika khususan katika msimu wa Sikukuu za Mwaka Mpya kufuatia kuongezeka idadi ya maambukizi ya corona barani humo.