Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Tahadhari kuhusu hali ya mgogoro katika nchi za mashariki mwa Afrika

    Tahadhari kuhusu hali ya mgogoro katika nchi za mashariki mwa Afrika

    Mar 27, 2017 07:31

    Mgogoro wa ukame katika eneo la mashariki mwa Afrika umeulazimisha Umoja wa Mataifa kutoa onyo kuhusiana na hatari ya janga la wakimbizi kwenye eneo hilo.

  • UN yaanzisha kampeni mpya ya kutokomeza Polio Afrika

    UN yaanzisha kampeni mpya ya kutokomeza Polio Afrika

    Mar 25, 2017 03:13

    Kampeni ya chanjo ya aina yake kuwahi kufanyika katika bara la Afrika dhidi ya polio itatoa chanjo kwa watoto milioni 116 wiki ijayo katika nchi 13 za Afrika Magharibi na Kati, limesema Shirika la Afya Duniani, WHO na Shirika la Kuhudumia Watoto, UNICEF.

  • Darul Iftaa ya Misri: Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa ugaidi barani Afrika

    Darul Iftaa ya Misri: Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa ugaidi barani Afrika

    Mar 16, 2017 11:24

    Darul Iftaa ya Misri imetangaza kuwa, nchi za Magharibi ni waungaji mkono wakuu wa makundi ya kigaidi barani Afrika na kwamba nchi hizo zinapaswa kulazimishwa kuacha kuyaunga mkono makundi ya kigaidi.

  • Ukame na njaa vyaendelea kuua watu barani Afrika

    Ukame na njaa vyaendelea kuua watu barani Afrika

    Mar 07, 2017 01:00

    Wimbi la vifo vinavyotokana na ukame na njaa limezikumba nchi kadhaa za Afrika hususan mashariki mwa bara hilo.

  • Safari ya ujumbe wa Baraza la Usalama Barani Afrika

    Safari ya ujumbe wa Baraza la Usalama Barani Afrika

    Mar 06, 2017 10:27

    Wanachama 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameanza safari ya kuzitembelea nchi nne za eneo la Ziwa Chad. Safari hiyo inafanyika huku eneo hilo likisumbuliwa na changamoto kubwa ya ugaidi na tatizo la wimbi kubwa la wakimbizi.

  • FAO: Maeneo ya Mashariki mwa Afrika yataendelea kukabiliwa na hali mbaya ya chakula

    FAO: Maeneo ya Mashariki mwa Afrika yataendelea kukabiliwa na hali mbaya ya chakula

    Mar 03, 2017 00:37

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuwa, ukame na vita vitaifanya hali ya chakula kuwa mbaya sana barani Afrika hususan baadhi ya maeneo ya mashariki mwa bara hilo.

  • Tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

    Tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim yakosa mshindi tena

    Mar 01, 2017 12:37

    Kama ilivyokuwa mwaka juzi, tuzo ya kifahari ya Mo Ibrahim mwaka jana 2016 pia imekosa mshindi.

  • UN: Kuna njaa kubwa Afrika na Yemen

    UN: Kuna njaa kubwa Afrika na Yemen

    Feb 23, 2017 03:41

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema baa la njaa limeenea katika nchi kadhaa za Afrika na Yemen huku akisema hali ya Sudan Kusini ni mbaya sana

  • Amnesty  yakosoa ukiukwaji haki za binadamu Afrika Mashariki

    Amnesty yakosoa ukiukwaji haki za binadamu Afrika Mashariki

    Feb 23, 2017 03:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa ukiukwaji wa haki za binadmau barani Afrika.

  • Hali mbaya ya wakimbizi katika bara la Afrika

    Hali mbaya ya wakimbizi katika bara la Afrika

    Feb 22, 2017 00:36

    Hali ya maisha katika akthari ya nchi za Kiafrika, imesababisha kuongezeka idadi ya wakimbizi katika bara la Afrika. Hii ni katika hali ambayo, Mpango wa Chakula Duniani (WPF) umetahadharisha kuhusu matatizo ya chakula kwa wakimbizi wa bara hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS