-
Familia: Yumkini Mzee Tshisekedi aliuawa
Feb 14, 2017 13:48Familia ya Tshisekedi yadai kuwa huenda mwanasiasa huyo mkongwe aliuawa.....
-
Morocco yasema haitaitambua Sahara Magharibi licha ya kurejea AU
Feb 06, 2017 04:10Serikali ya Rabat imesema katu haitatambua uhuru wa Jamhuri ya Sahara Magharibi licha ya Morocco kukubaliwa kurejea katika Umoja wa Afrika AU baada ya kuondoka zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Misri na Cameroon kumenyana katika fainali ya kombe la mataifa ya Afrika
Feb 03, 2017 00:50Timu ya taifa ya soka ya Cameroon imeitandika Ghana mabao mawili kwa nunge katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Mataifa ya Afrika na hivyo kujikatia tiketi ya kucheza fainali ya mashindano hayo yanayofanyika nchini Gabon.
-
Maonesho ya kwanza maalumu ya Iran Afrika Mashariki kufunguliwa Nairobi, Kenya
Feb 01, 2017 13:02Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema, maonyesho ya kwanza maalumu ya Iran katika Afrika Mashariki katika nyuga za utaalamu wa ujenzi, mawasiliano na teknolojia, petroli na gesi, petrokemikali, teknolojia ya viumbe hai na tiba yatafunguliwa siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo Nairobi.
-
Viongozi wa Afrika waafiki stratejia ya kujiondoa ICC kwa pamoja?
Feb 01, 2017 04:15Viongozi wa Afrika wameunga mkono stratejia inayotaka nchi za bara hilo zijiondoe katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa pamoja.
-
AU: Afrika iko tayari kupokea wakimbizi baada ya US kufunga mipaka yake
Jan 31, 2017 10:31Umoja wa Afrika umesema nchi za Afrika ziko tayari kupokea wakimbizi baada ya Marekani kupasisha sheria tata ya kibaguzi dhidi ya wakimbizi.
-
Morocco yarejea Umoja wa Afrika baada ya miaka 33
Jan 31, 2017 10:22Umoja wa Afrika AU umekubali tena uanachama wa Morocco baada ya miaka 33 wakati nchi hiyo ilijiondoa umoja huo kutokana na mgogoro wa Sahara Magharibi ambao hadi sasa haujatatuliwa.
-
Guterres: Nipo tayari kufanya juhudi za kurejesha amani Afrika
Jan 30, 2017 11:44Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, upo tayari kufanya juhudi za kurejesha amani katika nchi za Kiafrika.
-
Matatizo ya kifedha, changamoto kubwa kwa Umoja wa Afrika
Jan 30, 2017 00:31Kuendelea matatizo ya kifedha kwa Umoja wa Afrika (AU) ambayo ndio taasisi kubwa kwa nchi za Kiafrika, kumeufanya umoja huo ushindwe kutekeleza majukumu yake hususan suala zima la kusimamia amani na uthabiti katika eneo hilo.
-
Umoja wa Afrika wataka askari 4,000 zaidi watumwe Somalia
Jan 27, 2017 23:19Umoja wa Afrika AU umetoa wito wa kuongezwa idadi ya askari wanaohudumu chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.