Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Kongamano la Kimataifa la Amani na Usalama Afrika laanza Dakar

    Kongamano la Kimataifa la Amani na Usalama Afrika laanza Dakar

    Dec 05, 2016 11:59

    Kongamano la Tatu la Kimataifa Kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika limenza leo mjini Dakar huko Senegal.

  • Nigeria na Morocco kujenga bomba la kusafirishia gesi

    Nigeria na Morocco kujenga bomba la kusafirishia gesi

    Dec 05, 2016 00:26

    Serikali za Nigeria na Morocco zimesaini hati ya makubaliano ya kujenga bomba la kusafirishia gesi ambalo litaziunganisha nchi mbili hizo pamoja na nchi nyingine za Afrika na bara Ulaya.

  • Iran yamtaka Rais wa Djibouti aache kutumikia amri za wengine

    Iran yamtaka Rais wa Djibouti aache kutumikia amri za wengine

    Nov 26, 2016 00:45

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti aliyedai kuwa, Tehran inaingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kumtaka atatue matatizo ya nchi yake kwanza na aache kutekeleza amri anazopokea kutoka kwa watu wengine.

  • Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake

    Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake

    Nov 25, 2016 02:29

    Kikao cha nne cha pamoja baina ya viongozi wa Kiarabu na Kiafrika kimefanyika katika anga ya kushadidi tofauti na mivutano ya kisiasa baina ya pande mbili.

  • Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya

    Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya

    Nov 23, 2016 04:42

    Wahajiri 1,400 aghalabu kutoka kaskazini mwa Afrika, wameokolewa baada ya boti zao kuzama katika Bahari ya Mediterranea wakielekea barani Ulaya.

  • Sisitizo la Waislamu wa Nigeria la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Sisitizo la Waislamu wa Nigeria la kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Nov 23, 2016 00:47

    Wanaharakati wa jumuiya ya kiraia ya Nigeria wameitaka rasmi serikali ya nchi hiyo imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa karibu mwaka mmoja sasa.

  • Iran na Umoja wa Afrika; uandaaji wa fursa kwa ajili ya ushirikiano katika uga wa usalama na amani

    Iran na Umoja wa Afrika; uandaaji wa fursa kwa ajili ya ushirikiano katika uga wa usalama na amani

    Nov 22, 2016 09:39

    Kamishna Mkuu wa Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika.

  • Iran: Ugaidi ni tishio kwa nchi za Afrika na Asia Magharibi

    Iran: Ugaidi ni tishio kwa nchi za Afrika na Asia Magharibi

    Nov 22, 2016 04:30

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye anashughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika amesema ugaidi ni tatizo la kimataifa na tishio la pamoja kwa nchi za bara Afrika na eneo la magharibi mwa bara Asia.

  • Pendekezo jipya la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utatuzi wa mgogoro wa Libya

    Pendekezo jipya la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya utatuzi wa mgogoro wa Libya

    Nov 21, 2016 23:14

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametoa pendekezo la kuteuliwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

  • Ufilipino kujiunga na Russia na nchi za Afrika dhidi ya ICC

    Ufilipino kujiunga na Russia na nchi za Afrika dhidi ya ICC

    Nov 18, 2016 04:15

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema huenda taifa lake likafuata mkondo wa Russia na kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS