-
ICC yazipigia magoti nchi za Afrika, yaziasa zisiondoke katika mahama hiyo
Nov 17, 2016 00:55Maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wamezitaka nchi za bara Afrika kutojiengua kuwa wanachama wa Mkataba wa Roma uliobuni mahakama hiyo.
-
SAUTI: Wakulima wa Uganda na Kenya washauriwa kutumia kilimo bora
Nov 16, 2016 06:25Wakulima nchini Uganda na Kenya wameshauriwa kutumia kilimo bora cha uzalishaji mazao yanayotumiwa sana na raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kukabiliana na njaa. Aidha wakulima hao wametakiwa kulima vyakula ambavyo ni rahisi kwa kilimo na mavuno. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
SAUTI: Kikao cha wananchi mjini Kigali
Nov 15, 2016 07:07Wanasayansi na watafiti kutoka nchi zinazoendelea wametangaza kwamba wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa fedha hali inayodhoofisha tafiti zinazofanywa kwenye mataifa. Hata hivyo juhudi za hivi karibuni zinaonyesha huenda hali ikabadilika. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kigali na ripoti zaidi
-
Maghala matatu makubwa ya silaha yanaswa Tunisia
Nov 14, 2016 11:25Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imeripoti kuwa, imegundua na kuzuia maghala matatu makubwa yaliyosheheni silaha za aina mbalimbali katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Ripoti: Nimonia inaua watoto wengi bara Afrika
Nov 12, 2016 04:25Asilimia 60 ya vifo milioni 5.9 vya watoto wadogo wenye umri wa chini ya miaka 5 vilivyotokea mwaka jana katika nchi za Afrika na Asia vilitokana na ugonjwa wa kichomi au nimonia.
-
Rais wa Zambia asisitiza kutatuliwa changamoto zinazolikabili eneo
Nov 08, 2016 23:07Rais Edgar Lungu wa Zambia amesisitizia udharura wa kutatuliwa changamoto za nchi za bara la Afrika kwa ushiriki wa asasi zote za kiraia hususan wanawake.
-
Rais Rouhani: Uingiliaji wa kijeshi ni tishio kwa usalama wa dunia
Nov 07, 2016 11:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uingiliaji wa kijeshi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine ni tishio kubwa kwa usalama na amani ya dunia.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo Tehran; ulazima wa kulijali bara la Afrika
Nov 07, 2016 08:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo Robert Dussey jana Jumapili alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif hapa mjini Tehran.
-
Wakfu wa Mandela wamsuta Zuma, wasema ameshindwa na uongozi
Nov 01, 2016 11:14Wakfu wa Mandela umemjia juu Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na mashinikizo yanayomtaka ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi zinazomundama na utumiaji mbaya wa mamlaka yake.
-
Bensouda: Hatubabaishwi na nchi za Kiafrika kujiondoa ICC
Oct 30, 2016 03:57Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amesema licha ya kuwa mahakama hiyo imepata pigo kufuatia hatua ya nchi tatu za Afrika kuanzisha mchakato wa kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma, lakini hatua hiyo haiwezi kuzuia wala kutatiza sughuli za kila siku za mahakama hiyo.