-
IMF: Ukuaji wa uchumi katika nchi za chini ya jangwa la Sahara kupungua
Oct 27, 2016 01:53Mfuko wa Fedha Duniani IMF umesema ukuaji wa uchumi katika nchi za eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika unatazamiwa kupungua kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 20.
-
Gambia nayo yatangaza azma yake ya kujiondoa ICC
Oct 26, 2016 11:26Gambia imejiunga na nchi kadhaa za Afrika zilizotangaza azma yao ya kujiondoa katika Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Rais Museveni aiunga mkono Afrika Kusini kujiondoa ICC
Oct 25, 2016 04:20Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepongeza hatua ya Afrika Kusini kuanzisha mchakato wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Deby: EU ishirikiane na viongozi wa Afrika kukomesha wimbi la wahajiri
Oct 13, 2016 04:30Rais Idris Deby wa Chad amesema ili kulipatia ufumbuzi jinamizi la wahajiri kumiminika barani Ulaya, sharti Umoja wa Ulaya uwahusishe viongozi wa Afrika katika mikakati yake ya kukomesha wimbi hilo la wahamiaji haramu.
-
Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania
Oct 12, 2016 04:05Wanawake kutoka nchi kadhaa za Afrika wanakongamana mjini Moshi nchini Tanzania katika mkutano wa kujadili haki za mwanamke, hususan haki ya kumiliki ardhi na maliasili.
-
Iran yauenzi mchango wa Waafrika katika harakati ya Ashura
Oct 11, 2016 04:39Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania amesema John bin Huwai ni jani la dhahabu la Waafrika katika mapambano ya Ashura.
-
Wito watolewa kuzingatia zaidi haki za watoto barani Afrika
Oct 11, 2016 04:31Sambamba na kufanyika kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika (AU) nchini Togo, mashirika ya kutetea haki za watoto yametoa wito kwa umoja huo kutenga bajeti ya fedha ya kushughulikia zaidi haki za watoto katika nchi za bara hilo.
-
Waziri wa Kigeni Kenya, Amina Mohammad, kuwania uenyekiti wa Tume ya AU
Oct 03, 2016 11:36Serikali ya Kenya imewasilisha jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Bi. Amina Mohamed kuwa mwenyekiti ajaye wa Tume ya Umoja wa Afrika AU.
-
VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
Sep 25, 2016 11:01Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
-
Azma ya Umoja wa Afrika ya kung'oa mizizi ya wanamgambo wa al-Shabab nchini Somalia
Sep 19, 2016 03:47Msemaji wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM amesema kuwa, kikosi hicho kimeazimia kwa dhati kupambana na kundi la wanamgambo wa al-Shabab na kung'oa mizizi ya wanamgambo hao katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.