SAUTI: Wakulima wa Uganda na Kenya washauriwa kutumia kilimo bora
Nov 16, 2016 06:25 UTC
Wakulima nchini Uganda na Kenya wameshauriwa kutumia kilimo bora cha uzalishaji mazao yanayotumiwa sana na raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kukabiliana na njaa. Aidha wakulima hao wametakiwa kulima vyakula ambavyo ni rahisi kwa kilimo na mavuno. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
Tags