SAUTI: Kikao cha wananchi mjini Kigali
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i19510-sauti_kikao_cha_wananchi_mjini_kigali
Wanasayansi na watafiti kutoka nchi zinazoendelea wametangaza kwamba wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa fedha hali inayodhoofisha tafiti zinazofanywa kwenye mataifa. Hata hivyo juhudi za hivi karibuni zinaonyesha huenda hali ikabadilika. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kigali na ripoti zaidi
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Nov 15, 2016 07:07 UTC